Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,834
- 168,098
sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....jun,july august,sept....october ......october ...
Hapa sijui anawaza nini??
mkuu,Mhh, siamini kama ni wewe? Au jana ulienda kumsikiliza mkulu na kuonja pilau? Njaa kitu cha hatari bro, inawezekana mambo yako yake kwenye waiting list (priority side). Vinginevyo hizo hesabu ungeshafanya siku nyingi na kuongeza zile alama zenu kama hizi ∫fx.
mkuu,
mimi naomba niambiwe,
kutoka 104,000 mpaka 315,000 ni ongezeko la asilimia ngapi?
na kwanini mgomo UMESITISHWA?
Pole FL natumai utakuwa balozi mzuri kwa wakinamama wenzako kuwaelezea kuwa huyu jamaa hafai maana kama ijulikanvyo nyie ni wengi na wepesi kushiriki kikamilifu katika kupiga kura. Mungu akupe uwezo na ujasiri.
sasa mama............200.012%
sasa mama............
Is it practical?
FL , Nisamehe sana sina lengo la kukutoa nje ya mada yetu, ila wafanyakazi ningependa waelewe kuwa Serikali ndio imewapiga kibuti, kwa lugha ya mjini, na kimuziki waende lose mama, kama muziki wa shauri yako serikali haiwezi kuuwa mtu kwa ajili yao, tabia zao haziendani nayo? Lakini vilevile serikali inatakiwa itambue ahadi yake ya maisha bora kwa kila mtanzania? Na Wafanyakazi kudai Tshs. 315,000 ni moja ya ahadi ya Maisha bora kwa kila Mtanzania?Simbamwene asante sana kwa kunikumbusha very far from here !
Kama alijifanya kutishia nasi tukafyata mkia basi ka win.
Pengine maamndamano yetu yasingechagua mtaa na hiyo WEF conference ingekula kwake.
Madai ya TUCTA ni ngumu kutekelezeka wakuu...Ni vigumu kuongeza 200.012% kwa wakati mmoja kwa nchi yenye uchumi wa kubangaiza kaka Tanzania.....Binafsi niko pamoja na mhishimiwa sana Rais....Madai ya TUCTA hayatekelezeki....ukweli ndo huo(japo unauma)....Hata ingekuwa ni serikali ya chama gani isingweza kupandisha mshahara kwa 200.012% at par..ngumu sana....Ni bora waendelee tu kukaa na kubargain....watapata suluhisho tu...Ni mtazamo tu
Hivi hapa Dar, kuna Mgahawa au Baa ambayo ukimaliza Chakula au Kinywaji unavunja Sahani/Glass?? Nina Stress nisaidieni...
Madai ya TUCTA ni ngumu kutekelezeka wakuu...Ni vigumu kuongeza 200.012% kwa wakati mmoja kwa nchi yenye uchumi wa kubangaiza kaka Tanzania.....Binafsi niko pamoja na mhishimiwa sana Rais....Madai ya TUCTA hayatekelezeki....ukweli ndo huo(japo unauma)....Hata ingekuwa ni serikali ya chama gani isingweza kupandisha mshahara kwa 200.012% at par..ngumu sana....Ni bora waendelee tu kukaa na kubargain....watapata suluhisho tu...Ni mtazamo tu
Twendeni tukapumzishe akili kidogo
hivi kesho ndo 05-05-2010 tarehe iliyopangwa mgomo??
Mgomo umehairishwa FL, kauli rasmi ya Tucta sasa itatolewa tarehe 8/05/2010