FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....Jun,July August,Sept....October ......October ...
Hapa sijui anawaza nini??
Kwangu imekuwa mbaya zaidi Dark City nimepata mawazo natamani kugeuza usiku kuwa mchana...Pole sana FL1, wengine tulianza toka jana.
Nilipatwa na kwikwi ya ajabu pale nilipomskia JK akitoa mfano wa Mbayuwayu.
awze nini na yeye kazi yake kumeza na kutema baada ya kutafuniwa??
Kwangu imekuwa mbaya zaidi Dark City nimepata mawazo natamani kugeuza usiku kuwa mchana...
BHT SIJUI KWA NINI IMENIGUSA KIIVI ...kweli kuna watu wanajua kuharibu siku za wenzao ...
2005 sijui kwa nini nilimpigia kura sikujua kama yatakuwa haya najuuuuuuuuuuuuuuuuuta kutoa kura yangu ya ndio
BHT SIJUI KWA NINI IMENIGUSA KIIVI ...kweli kuna watu wanajua kuharibu siku za wenzao ...
2005 sijui kwa nini nilimpigia kura sikujua kama yatakuwa haya najuuuuuuuuuuuuuuuuuta kutoa kura yangu ya ndio
lakini wakuu,
jk naona kama yupo right
lakini wakuu,
jk naona kama yupo right
mkuu,G, uko mzima kweli au bado uko Tanga unagangwa?
mkuu,
mimi naamini jeikei yupo right kabisa
hahahahaha!umekula mchana mpwazz????
najitolea kukupeleka late lunch................twende basi, washa tuktuk
hahahahaha!
naogopa mafoleni na mahasira ya tukta.....
NB:hivi bina,
JAMAA WALIKUWA WANADEMAND YA ONGEZEKO LA ASILIMIA NGAPI VILE?