Mwigulu Matonange (10), a Standard I pupil at Msia Primary School in Sumbawanga District, nurses wounds at Mtowisa Health Centre after an attack on February 15 in which his left arm was chopped off. (Photo: Correspondent Emmanuel Kwitema, UTSS Sumbawanga)
Jamani mpaka lini haya yataendelea? kwanini tunakuwa na roho mbaya hivi? mtoto huyu amekosa nini? Serikali inatumia nguvu kubwa kuzuia maandamano ya Wananchi na hata kuwalinda viongozi kwa gharama kubwa! kwanini hawa walemavu hawalindwi? Nchimbi kama Waziri wa Mambo ya ndani haoni haya? kama anasema kuna ugaidi Zanzibar na haya ya Sumbawanga sio ugaidi?
Wa TZ muda si mrefu Mungu atatuadhibu kama hatutafanya la maana kunusuru maisha ya wenzetu!