Na hii nayo ni BURGER kweli?

Huku kwetu Kagongwa hatuvijui hivyo mkuu wilbert
 
Huku kwetu Kagongwa hatuvijui hivyo mkuu wilbert
Ooh mkuu wa KAGONGWA, hbr za siku? Vp mkuu wenu wa wilaya alisharudi?? Maana niliona kibao hapo "MKUU WA WILAYA KAHAMA"
 
Hapa nilipo mate yananidondoka. Huku kwetu wanyalu land tunatafuta kwa gharama yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…