majorbanks
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 228
- 66
Mhe.naona unaanza kulinganisha usingizi na kifo.mbona Diamond akishuka kwenye zulia jekundu pale mlimani city huwa mnashangilia?
Chadema bwana?
we unataka akapokelewe na toroli?
Mbona enzi za Mkapa hamkuyasema haya?
Ndugu zangu sielewi hii kitu, na nimekuwa najiulza sana, eit Raisi wa Nchi Kulakiwa........
View attachment 68741
Kaanza kuvaa bullet proof ennh!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
we unataka akapokelewe na toroli?
Mbona enzi za Mkapa hamkuyasema haya?
Ndugu zangu sielewi hii kitu, na nimekuwa najiulza sana, eit Raisi wa Nchi Kulakiwa........
View attachment 68741
Ndugu zangu sielewi hii kitu, na nimekuwa najiulza sana, eit Raisi wa Nchi Kulakiwa........
View attachment 68741
nikifanya kauchambuzi kadogo tu ni kwamba hawa wote na wengine wasioonekana picani wameenda na magari na hii hutokea hata Rais akienda Kenya tu............................
View attachment 68742
mbona Diamond akishuka kwenye zulia jekundu pale mlimani city huwa mnashangilia?
Chadema bwana?
Amavubi .. Eti Kulakiwa?! ...
Wenzetu huwa wakirudi nyumbani huwa hawalakiwi!! ...
Ni unakimbia Fasta kuwahi Ofisini!