...Na Hii Nayo Maana Yake Nini???

...Na Hii Nayo Maana Yake Nini???

mbona Diamond akishuka kwenye zulia jekundu pale mlimani city huwa mnashangilia?
Chadema bwana?
Mhe.naona unaanza kulinganisha usingizi na kifo.
Ni mara ngapi kwa almasi kukanyaga iyo kitu ukilinganisha na vasco?(Haka kaswali ni kadogo!!)
 
Ndugu zangu sielewi hii kitu, na nimekuwa najiulza sana, eit Raisi wa Nchi Kulakiwa........
View attachment 68741

Waoooooooooooooooo! Karibu nyumbani kwako baba. Mama na watoto wote wana afya njemaaaa kabisaaaaa Ila wale watoto mapacha bado wanagombana gombana mmoja kachoma midoli ya mwenzake; kaka mkubwa kajaribi kuwazuia bila mafanikio..... bora umekuja baba labda watakusikia na kuacha kugombana.
 
we unataka akapokelewe na toroli?
Mbona enzi za Mkapa hamkuyasema haya?

mkuu kila masika na mbu wake... inabidi tubadilike kuendana na hali halisi, ya mkapa yamepita hatuwezi kufuata yale ya mkapa kama alikuwa nakosea tuendelee kukosea kisa enzi za mkapa?? tuache ku-paste
 
Ndugu zangu sielewi hii kitu, na nimekuwa najiulza sana, eit Raisi wa Nchi Kulakiwa........
View attachment 68741

Amavubi .. Eti Kulakiwa?! ...

Wenzetu huwa wakirudi nyumbani huwa hawalakiwi!! ...

Ni unakimbia Fasta kuwahi Ofisini!

P120610PS-0198.jpg



610x.jpg


610x.jpg
 
mbona Diamond akishuka kwenye zulia jekundu pale mlimani city huwa mnashangilia?
Chadema bwana?

Hakuna cha CHADEMA wala nini hapa! Kuna haja gani watu wote hao kwenda kumlaki? Yaani safari zote hizo za kila siku na kila akirudi watu wanaacha kufanya kazi wanaenda kumlaki! What a waste of time and resources!!!?
 
Amavubi .. Eti Kulakiwa?! ...

Wenzetu huwa wakirudi nyumbani huwa hawalakiwi!! ...

Ni unakimbia Fasta kuwahi Ofisini!

P120610PS-0198.jpg



610x.jpg


610x.jpg

Asante Dotworld hapo ndio ninapokupendea! Bora uwafundishe kwa mifano hai maana wakiambiwa wanadhani ni ushabiki tu wa kisiasa. Viongozi wetu inabidi wabadilike waache usultani usio na maana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom