Na haya mabango je?

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Nimekua nikijiuliza huwa yanatengenezwa vipi mpaka yanawekwa barabarani mfano mabango ya mitandao au vinywaji.
Kwahiyo kama unafahamu fanya kujibu hili swali na utanisaidia sana.
 
Yapi unazungumzia kaka? Kama ni yale ya picha kubwa nadhani ni ya kawaida sana labda ungesema yale yanayotembea na kubadilikabadilika! FUNGUKA MZEE
 
yale makubwa bana mara yanakuaga main road fanya kufunguka utaratibu wa kuyatengeneza uko vipi?
Pili hata yale yanayotembea kuna utaalam gani unatumika?
 
yale makubwa bana mara yanakuaga main road fanya kufunguka utaratibu wa kuyatengeneza uko vipi?
Pili hata yale yanayotembea kuna utaalam gani unatumika?
 
Labda useme zaidi eneo ambalo unafikiri bila kupata jibu maana bado hujaweka bayana ni hatua gani ya utenge n ezaji inayokupa tabu au unamaanisha printing?
 
Labda useme zaidi eneo ambalo unafikiri bila kupata jibu maana bado hujaweka bayana ni hatua gani ya utenge n ezaji inayokupa tabu au unamaanisha printing?

HAPO hapo kwenye printing ndo hasa nataka kufamu
 
yale huwa ni unaprint inategemea kuna pvc na canvas material,mara nyingi hutumia canvas unatengeneza dizaini yako unayotaka itokee unaenda kuprint huku ukiwa na vipimo vya tangazo lako, ile frem ya nje inakuwa imefungwa taa ndani yake, unakuja kuweka hyo canvas yako kwa juu ya ile frem na unaifunga huwa inakuwa na matundu canvas yenyewe tayari unakuwa umemaliza zoezi (kwa ufupi kwa maelezo zaidi ni pm)
 
Back
Top Bottom