Na hapa je mlo huu niambieni basi?

Na hapa je mlo huu niambieni basi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11025167_617559461677015_2666804249344252287_n.jpg


11043087_617559531677008_7999642278029125049_n.jpg


11021172_617559595010335_4863741434990955878_n.jpg


11043013_617559675010327_468006925985223643_n.jpg



10982295_617559768343651_181058624126428450_n.jpg


Mlo wa kutwa nzima huo unasemaje?
 
Mishkaki hiyo ni noma sana.inavutia sana i say.
 
Huku ni kutiana njaa kabisaaa.Najuta kufungua hapa maana ndio nipo busy nachambua tembele halafu hiyo mishikaki inavyovutia sasa aaaaahhhh!!!!!
 
Kama nyama imekauka vya kutosha na hiyo sousi ni nyanya na haina mafuta basi nimeipenda sana
 
Back
Top Bottom