...........Natamani kama ningejua mahali ulipo ili nikuelekeze sehemu kwenye kanisa ambalo wanaweza kukuombea ili hilo pepo lako la uzinzi likutoke. Pole sana!!
Hauwezi kuisha patna kwa kuwa anajua wateja wapo na kila mara akitupia tangazo basi PM Box inajaa wababa wenye uchu...watakufa wengi patna wangu we ngoja tu!!!