Na disegn motor za AC & DC

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Nimwanafunzi wa mechanical engineering.... Na design motor za DC na AC ...kwa maelewano ....nazingatia ubora na mahitaji husika....

Mawasiliano

+255715797533

+255766047815
 
je kuna uwezekano wa kufuma mota kwa kupunguza mwendo kasi kufikia kama 10 rpm ila kuiongeza nguvu (torque) mara dufu bila kutumia gia kwa mota ya mwendo kasi wa juu ya kama hp 1.5?
 
Inawezekana mkuu
 
Back
Top Bottom