Kinachoshangaza ni Marekani kuwaacha waendelee na mikwara yao, kwanini asiwaswage kama Saddam?
Yani hao wanaishi kipekee asee kwanza hawanaga mitandao ya kijamii yaani kama makuku vilee...dah
Hio nchi sioo sioooo kabisaa....
Haka kajamaa ni stubborn kweli, sijui kwanini Marekani wameiacha hii familia kuendelea kutamba mpaka leo!
Huyu jamaa ana mikwara tu kama baba yake, sio mara ya kwanza naskia North Korea inamtishia Marekani but each time sijawahi kuona action
Na aendelee kukitunza ili heshima iendelee kuwepo!!!Kana kitu kizito ndicho kinachompa kibri na kalivyo na akili finyu haka kajamaa kanaweza kukiachia kitu kizito na kuathiri sehemu kubwa ya dunia kwa miaka chungu nzima ijayo.
Kana kitu kizito ndicho kinachompa kibri na kalivyo na akili finyu haka kajamaa kanaweza kukiachia kitu kizito na kuathiri sehemu kubwa ya dunia kwa miaka chungu nzima ijayo.
Wa awamu ya kwanza.
Na aendelee kukitunza ili heshima iendelee kuwepo!!!
Mimi siwaamini kivile hao jamaa. Hata hivyo vibomu vyao sijui vya nyuklia vinaweza vikawalipukia wenyewe na kuwadhuru kabla hata havijadhuru wengine.
Na pamoja ya kwamba kanaonekana hakana akili nzuri bado siamini kwamba ni kapumbavu kiasi cha kuweza kuanzisha timbwili na Marekani maana nchi nzima itaangamizwa.
Hata kuanzisha timbwili na South Korea hakawezi maana kanajua ndo utakuwa mwisho wake.
Sana sana huwa kunakuwa na rabsha rabsha tu za hapa na pale kati ya South na North lakini huwa hazifikii level ya full-blown war.
wanapata acces ya intanet toka china na kwa taarifa yako wanajua kila kinacho endelea duniani Okey?
Hapo napo kuna utata kwamba kanadanganya Ulimwengu kwamba kana kitu kizito, lakini wachunguzi wengi duniani wa mambo haya wanaamini jamaa anacho kitu kizito. Ndio sababu wanakuwa makini mno katika kukatia adabu.
​haka kajamaa ni shida tu, maneno meengi
​haka kajamaa ni shida tu, maneno meengi
Mikwara ya hivi hata Saddam na Gaddafi walikuwa nayo
Eti alikuwa kafiri.kwani ccm mmeacha kuiba kura halafu kwanini unapenda kumweka nyerere in those bars
kwani ccm mmeacha kuiba kura halafu kwanini unapenda kumweka nyerere in those bars
Hicho kijamaa kinajua sana kuchimba biti.
Na hizo biti tumeshazizoea na wengine huwa zinatuchekesha sana.
Ni bora angejikita katika kuboresha maisha ya watu wake ikiwemo kuwapa uhuru wa kuona na kujua yanayoendelea nje ya hiyo nchi.
Hao watu wanaishi kama kuku wa kufugwa. Wanatia huruma. Wamechotwa akili.
Sielewi kwa nini mamiioni ya watu waweze kuchotwa akili na familia moja namna hiyo.
Halafu eti jina rasmi la hiyo nchi ni DPRK (Democratic People's Republic of Korea).
Hivi wanafanyaga hata chaguzi hao watu?
Vichekesho!!
Mkuu unazungumzia uhuru wa kujua mambo ya nchi nyingine kama ule America na allies waliopeleka misri, Afghanistan, Syria, Iraq, Libya na nyinginezo?