Mi nadhani umemaliza kila kitu.Hali hii inatokea kwa wanawake wengi wanaotumia vijiti na sindano za uzazi wa mpango. Hata wanaopata mtoto wa kwanza wakatumia njia hizi husubiria hadi miaka 6-10 ili mambo yarudi kama awali. Ushauri: mabinti achana na uzazi wa mpango kama hujazaa; mleta uzi vumilia huku ukifanya mazoezi, kula mchicha wa kienyeji, kula ugali wa mhogo ukichanganya na mtama, kula viazi vitamin, njugu mawe, viazi vikuu, kuku wa kienyeji. Ukiendekeza vyepe na wali mweupe usitegemee mafanikio siku za karibuni.
Asante kwa ushauri nimeupokea..Hali hii inatokea kwa wanawake wengi wanaotumia vijiti na sindano za uzazi wa mpango. Hata wanaopata mtoto wa kwanza wakatumia njia hizi husubiria hadi miaka 6-10 ili mambo yarudi kama awali. Ushauri: mabinti achana na uzazi wa mpango kama hujazaa; mleta uzi vumilia huku ukifanya mazoezi, kula mchicha wa kienyeji, kula ugali wa mhogo ukichanganya na mtama, kula viazi vitamin, njugu mawe, viazi vikuu, kuku wa kienyeji. Ukiendekeza vyepe na wali mweupe usitegemee mafanikio siku za karibuni.
Pole sana dawa n miziz ya mpera na mizizi ya mbaazi tu kata vdgovdgo chemsha kunywa 1×2 kikombe kwa sku tatu Mungu ataksaidia utaopna na kufrahi 100%Wasalaam
Naomba niende moja kwa moja.
Nina tatizo linalonisumbua sasa zaidi ya mwaka.
Mzunguko wangu wa hedhi umekua na shida..kwanza niweke kumbukumbu kipindi cha nyuma nilishawahi kitumia sindano hizi za kuzuia mimba za miezi mitatu nilitumia kama mara mbili nikaacha ambapo jumla ni miezi 6.
Sasa baada ya kuaacha nilikaa muda kama miezi mitatu bila kuingia hedhi hivyo zilipo kuja kutoka zilitoka mfululizo zaidi ya wiki 2.
Zaikakata..niakendelea nikawa naigia kila mwezi ila zikawa zinatoka za rangi ya brown na ndani ya siku 4 zinakata..miezi mingine zinatoka hata siku 2 tu zinakata.
Baadae tena ile hali ya kutoka hedhi kwa muda wa wiki na zaidi inajirudia..ikikata nakuwa normal tu ila ndio hivyo zinatoka za rangi ya brown sio nyekundu kabisa.
Tumbo haliumi sana wala halikati..nimeenda hospitali kuonana na gynecologist nikafanyiwa vipimo..vya uzazi niko normal ila shida ilikua ni hormone imbalance napo nilipewa dawa.
Ila bado tatizo linaendelea kama nilivyoeleza hapo juu hali hii imekua ikinitesa sana..hasa ukizingatia kwa sasa nipo kwenye ndoa na natafuta mtoto.
Naombeni msaada katika hili.
Wasalaam