Mzungu ni nani?

Mzungu ni nani?

Cascos

New Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
0
Reaction score
198
Habarini wanajamvi,

Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa mazoea bila ya kuwa na udadisi kwa vitu tunavyofanya au hata kusema kila siku, yapo maswali mengi amabyo mtu anaweza kujiuliza kwa mfano: nini chanzo cha upepo? na vitu vingine vinavyofanana na hivyo lakini kutokana na uvivu wetu wa kufikiri inatufanya kutokuwa wadadisi wa mambo.
Hii inapelekea kuchangia mambo kwa ushabiki au mihemko bila ya kufikiri.

Unaweza kupima kiwango chako cha kufikiri / kudadisi kwa kujiuliza swali jepesi kama,
mzungu ni nani?
Jibu la haraka ni kwamba mzungu ni mtu mweupe, lakini je wataka kunambia mchina nae ni mzungu? Vipi kuhusu waarabu, nao ni wazungu? Wahindi je?
mzungu ni nani? Asili yake ni wapi?
 
Mchina mwarabu hao wote si weupe.weupe wanajichukulia watu wasio na Rangi na wapo sahihi sababu Wana upungufu wa kemikali inayotengeneza Rangi ya mwili(melanin).Waafrika ndio watu waliojaliwa kua na wingi wa kemikali hyo wakifuatiwa na other people of color kama wachina waarabu wahindi N.k.
 
mdau mmoja ktk hrkt ya kutetea waarabu...
anaseme Mzungu ni mtoto wa mwarabu.
labda tujiulize mwarabu ni nani...
 
Neno "mzungu"

mzungu1
-kitu au tendo la kushangaza au lisilofahamika.

Mzungu2
-mafundisho wapewayo wali jandoni au unyagoni.

Mzungu3
-njia ya kujitoa katika shida.

Mzungu4
-mtu wa asili ya Ulaya.

Binafsi, nikijibu swali lako. Mzungu ni mtu yeyote mwenye ASILI ya kutoka ulaya.

Kuhusu asili ya neno na chimbuko lake wapo wanaosema limetokana na neno kuzunguka, maana hawa jamaa walikuwa wanazungukazunguka tu, lakini huwa najiuliza kwanini wasingeita mzungukaji kama nomino ya kuzunguka hadi waite mzungu? ?

Kwangu nadhani neno mzungu limetokana na neno mzungu lenye maana ya jambo lisilojulikana lilikotokea na la kustaajabisha. Hivyo babu zetu walipowaona wazungu pasipo kujua walipotokea basi wakawaita wazungu(ikumbukwe neno hili ni la kiswahili cha zamani ).

Ila pia wapo wanaolihusisha na neno "mzungu" linalotumiwa Nigeria na kuna sehemu kabisa inaitwa muzungu Nigeria. Wanaojua watatueleza kuhusu hapa.
 
featured1.jpg
camarota-projecting-age-structure-b1.jpg
 
Habarini wanajamvi,

Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa mazoea bila ya kuwa na udadisi kwa vitu tunavyofanya au hata kusema kila siku, yapo maswali mengi amabyo mtu anaweza kujiuliza kwa mfano: nini chanzo cha upepo? na vitu vingine vinavyofanana na hivyo lakini kutokana na uvivu wetu wa kufikiri inatufanya kutokuwa wadadisi wa mambo.
Hii inapelekea kuchangia mambo kwa ushabiki au mihemko bila ya kufikiri.

Unaweza kupima kiwango chako cha kufikiri / kudadisi kwa kujiuliza swali jepesi kama,
mzungu ni nani?
Jibu la haraka ni kwamba mzungu ni mtu mweupe, lakini je wataka kunambia mchina nae ni mzungu? Vipi kuhusu waarabu, nao ni wazungu? Wahindi je?
mzungu ni nani? Asili yake ni wapi?

Wazungu are Europeans au watu waliotoka Europe na Asili zao. Arabs are Arabs people from near east and surrounding areas for example Moroccans, Tunisians, Algerians . Asians consist of many many different groups. Like Indians, Chinese, Thai people, Philippines and many more are known collectively as Asians.
 
Unachosema ni sawa kwa kiasi fulani lakini kumbuka kuna wamarekani,
wa'canada nao unataka kuniambia sio wazungu?
Ndiyo ni wazungu kama watakuwa na asili ya Ulaya. Hata Mtanzania mwenye asili ya Ulaya ni mzungu.
Na kuhusu wao kuzunguka, ina maana hakukuwa na watu wa Asia kama wachina au wajapani waliokuwa wanazunguka zunguka Afrika ya mashariki kwa kipindi hicho?
Mimi huwa siamini neno mzungu limezaliwa kutoka neno kuzunguka.

Naamini limetokana na neno mzungu niliyoitaja hapo juu. Kwa hii maana waarabu hawakuwa na mambo ya kustaajabisha kama ilivyokuwa kwa hawa wazungu na wao kwa wing waliishia pwani japo wazungu karibia kila sehemu walipita.
 
Kulala mzungu wa NNE
Nazani ndo yupo apo

sent from my iPhone 6
 
Bila maelezo kwenye hii kitu yenye lugha ya watu unatupa shida wenzio,
nisome kiingereza, nikitafsiri kwa kiswahili na ili nielewe lazima ni translate
kwa lugha ya kabila langu halafu nianze kufikiria kukujibu katika mlolongo huo huo. Huoni hio ni shida mpya mkuu?
Summary
1. When comparing White and Caucasian, the latter one is a larger race.
2. The Caucasian race consists of North Africans, Arabs, Whites, Somalians, some people in India and Ethiopians. On the other hand, white are mostly people who belong to Europe.
3. When compared to the Caucasian, the white people have a lighter skin. Unlike the white people, the Caucasian people have thin noses and thin lips.
4. The concept of white race or white people originated in the 17th century. But the reference of white race or white people can be traced to Greco-Roman ethnography.
5. The term Caucasian originated in the 19th century and has been derived from a region of the Caucasus Mountains. German scientist and anthropologist Johann Friedrich Blumenbach is credited with the development of the term Caucasian in 1800.
 
Ni binadamu wa daraja la kwanza duniani.

Ni watu wenye upeo mkubwa zaidi kuliko watu wa races zingine.

Ni wabunifu na wagunduzi mashuhuri tokea enzi na enzi.

Ukiniuliza pia mtu mweusi ni nani nitakujibu.
 
Summary
1. When comparing White and Caucasian, the latter one is a larger race.
2. The Caucasian race consists of North Africans, Arabs, Whites, Somalians, some people in India and Ethiopians. On the other hand, white are mostly people who belong to Europe.
3. When compared to the Caucasian, the white people have a lighter skin. Unlike the white people, the Caucasian people have thin noses and thin lips.
4. The concept of white race or white people originated in the 17th century. But the reference of white race or white people can be traced to Greco-Roman ethnography.
5. The term Caucasian originated in the 19th century and has been derived from a region of the Caucasus Mountains. German scientist and anthropologist Johann Friedrich Blumenbach is credited with the development of the term Caucasian in 1800.

You Mkuu you are 100% wrong about your first and second point and absolutely right on your 4th and 5th points. To call Ethiopians or Somalians people caucasian is misguided and wrong.

Sisi Watanzania tuna different shade of blackness or whiteness, wachaga na Wajaluo wako tofauti sana kwenye skin colour shades. Wapare na wamakonde wako tofauti. Wamasai na Wazaramo wako tofauti Lakini sisi wote ni watu wamoja. Lakini tunaweza kutoa watu tofauti kama weusi sana, weupe sana au mixture of the two.

Think, think don't just read and copy European propaganda bro.
 
Back
Top Bottom