Mzungu ni nani?

Mzungu ni nani?

Cascos MZUNGU NI MTU MWENYE ASILI YA ULAYA, HAKUNA MTU MWEUSI MWENYE ASILI YA ULAYA NA WALA HAKUNA MCHINA MWENYE ASILI YA ULAYA.. TOFAUTISHENI ASILI (CHIMBUKO) NA KUZALIWA.

UMEULIZA MMAREKANI SIYO MZUNGU... HAPA MAREKANI WAZUNGU WAPO KWA KUWA MAREKANI ILITAWALIWA NA MUINGEREZA (MZUNGU) KAMA ILIVYOKUWA SOUTH AFRICA NAKO KUNA WAZUNGU PIA.

KWANZA KWA ASILI HAKUNA MTU ANAYEITWA MMAREKANI.. WOTE WALOWEZI.. KUANZIA RED INDIES, AFRICANS, EUROPEANS, JEWS N.K.. WOTE WALOWEZI TU HAPA USA.
 
Kuhusu upepo , tunaweza kuielezea kama hewa ambayo inatembea na hilo linatokana mgandamizo wa hewa, mara nyingi hewa hupenda kuelekea sehemu yenye mgandamizo mdogo wa hewa kutoka sehemu yenye mgandamizo mkubwa wa hewa iliyo nzito ina tabia ya kuisukuma ile, jambo linalopelekea kutokea kwa upepo.

Hiyo ni kwa ufupi.

Nipo tayari kurekebishwa.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wanajamvi,

Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa mazoea bila ya kuwa na udadisi kwa vitu tunavyofanya au hata kusema kila siku, yapo maswali mengi amabyo mtu anaweza kujiuliza kwa mfano: nini chanzo cha upepo? na vitu vingine vinavyofanana na hivyo lakini kutokana na uvivu wetu wa kufikiri inatufanya kutokuwa wadadisi wa mambo.
Hii inapelekea kuchangia mambo kwa ushabiki au mihemko bila ya kufikiri.

Unaweza kupima kiwango chako cha kufikiri / kudadisi kwa kujiuliza swali jepesi kama,
mzungu ni nani?
Jibu la haraka ni kwamba mzungu ni mtu mweupe, lakini je wataka kunambia mchina nae ni mzungu? Vipi kuhusu waarabu, nao ni wazungu? Wahindi je?
mzungu ni nani? Asili yake ni wapi?
Mzungu ni bwana wako au vipi?we mpe tu ile kitu akutifue.
 
Mzungu ni asili au jamii ya watu wanaopatikana bara la ulaya duniani kuna asili 4 ambazo ni

1 Caucasian races(Europeans)
2 Mongolian races (Chinese , Koreans, Japanese )
3 Semitic races (Arabs Indian Jewish)
4 Negroid races(all blacks people)
Hizi ndizo jamii kamili za binadamu pia kuna jamii nyingine tofauti ambayo wapo wengi sana jamii hii inatambulika kama
Mixed race (chotara)
jamii hii watu wengi wanajua ni muunganiko wa mweusi na mweupe ndio wanaitwa mixed lakini si lazima hwe hvyo mixed anaweza kuwa mchina na mjapani au mwarabu na mzungu so mtoto atakaye toka hapo atakuwa mweupe pee
Sasa hoja hapa ni Mzungu ni nani?
Mzungu pure wanasema lazima kuwa na Kigezo kimoja kati ya 2
1 Blonde hair
2 Blue eyes
Mtu anaweza kusema wazungu ni watu wengi Asili ya Ulaya lakini wazungu wenyewe wanasema Spanish, Turkey, Italy, Greece si wazungu pure ni mixed race na Nchi nying sana ni kutoka jamii hii ya Mixed race ( chotara )
Wanasema wazungu pure ni Germany, Denmark, Sweden, Russian, Poland ,Ukraine etc
Blonde hair ndio kigezo kikubwa kwani wanasema katika jamii zote 4 Blonde hair zipo kwao tu ndo maana ni vigumu kumkuta mchina au mkorea wanablonde au kukuta Negro ana blonde japo kuna jamii ya weusi wana blonde hair jamii ambayo inapatikana bara la Ocenia wanajulikana kama
The Melanesians wale wanamatatizo na rangi za nywele zao is caused by an amino acid (Thrombospondin 1) ambayo ina change in the gene to TYRP1 ( Tyrosinase-related protein 1 )

Kitu chochote ukiwanacho ambacho si cha jamii yako hilo ni tatizo Mungu kila Jamii ameipatia vitu vyake ni sawa leo kumkuta mzungu ana nywele za kipilipili hilo ni tatizo aiwezekani ikawa ni sawa tu pia ni sawa na albino kwetu
 
Nimeelimika, Safi Sana
 
kwa ninavyojua Mimi
1. Mzungu - mweupe
2. Mchina, Japan, Korea - Wanjano
3. Wahindi - wekundu
4. Waarabu - Kahawia
5. Waafrika - weusi

Hapo pia nimepanga kulingana na maendeleo na nguvu ya kutawala ulimwengu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo na vigezo gani vinatumika hadi kusema mtu fulani asili yake ni sehemu fulani?
 
Back
Top Bottom