Mzungu ni kama maji huwezi kumkwepa

Mzungu ni kama maji huwezi kumkwepa

Ukimkwepa mzungu kwenye utalii utakutana nae pale ambapo unahitaji kuweka rada nne nchi nzima kimkakati.

Ukimkwepa mzungu kwenye suala la kilimo cha kisasa, utakutana nae kwenye suala zima la watalii ambao wakija kwa wingi pato la taifa linaongezeka.

Ukimkwepa kwenye utalii utakutana nae kwenye suala la wataalam mbalimbali wa afya.

Namuongelea mzungu kwa maana ya mtu mweupe na makandokando yote aliyonayo.

Ninaipenda sana hii jeuri ya awamu ya tano, ya kwamba sisi tunaweza, ni waafrika wachache sana ambao wanajengana kisaikolojia kwa kuambiana kuwa wanaweza.

Lakini aliyeiumba asili aliumba ile hali ya binadamu na viumbe vingine kushirikiana na kutegemeana.

Kwa muafrika (mtanzania) mzungu hakwepeki ni kama maji vile. Usinawa uso asubuhi mchana utayanywa kabla ya kula. Usipoyanywa utayahitaji jioni kwa ajili ya kuoga.

Matamko yanawakilisha mtazamo wa kiuongozi, lakini uhalisia ni kwamba no man is an ireland. Hayupo mwenye jeuri ya kujitegemea pasipo kupata ushirikiano wa mwingine.

Teh teh teh hadi kwako umeguswa? Naona Makondakta kakunasa kwa LGBT?
 
Ukishasimama unaweza kuwa na jeuri kubwa kama nchi za China, Russia sisi bado kidogo unashirikian nao lazima kwa sasa.

Hata kama hupendi kitu usiwatangazie, weka mikakati kuona hakifanyiki. Lakini usiwashtue kwa nguvu.

Matamko yakifanywa na zote za Africa labda kutakuwa na nguvu fulani lakini mmoja mmoja mwisho wa siku watakupata sehemu fulani na vikwazo vyao.
Russia ni Mzungu Pia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3]
 
Ila kwa mambo yanayopingana na Misingi ya mila zetu hayo lazima tupinge hata kama ni nchi moja moja.Mengine tutaendelea kuwa nao.Sisi si Kisiwa na hatuna technologia kama ulivyosema.tatizo la kufanya kimya kimya ni kuwa unaweza minywa kimya kimya vilevile.Bora sababu za kuminywa kwako ziwe wazi

Ujumbe utafika asubuhi na mapema kama sio jijini na hata nchi yote.

Sasa mkuu sheria si tayari ipo, tunayo, hukumu yake ni miaka 30 jela.


Inashindikana vipi kuwakamata hata watu hamsini hivi wanaojitangaza kila siku pia utapata uwezo wa kuchukua ushahidi kwa siku kadhaa ili kuona hakuna mtu anayeonewa na kuna ushahidi wa kutosha.

Ujumbe utafika asubuhi na mapema.

Kwa sababu hujawastua, ukitangaza ni kama vile watu wanaweza kusingiziwa, ugomvi, chuki binafsi, ushindani wa kibiashara.

Lengo ni wasiwe na infuence kwa wengine na watoto wadogo. Lengo ni kulinda watoto. vijana wetu

Kuweza kujitangaza ni kuchafua jamii. Ni lazima tufanye kitu, tuangalie hata mitandao yao ya uchafu haiwakifii hasa watoto, inaangaliwa kwa makini

Mbona nchi nyingi tayari zinafanya hivyo. Kama Uarabuni inajulikana kule unanyongwa, na wakimpata mtu wanatekeleza hizo adhabu labda kwa wiki tu. Kwa hiyo hawawezi kufanya yao hata kujaribu.

Ila bado hawa watu wa west wanafanya nao biashara. Kipi kinashindina hapa kwetu.

Ni maoni tu inawezekana yasiwe sahihi.
 
Russia ni Mzungu Pia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3]


Sawa mkuu, unajua nina maana gani? Ni mentality fulani, economy ulivyopangwa, historia, utamaduni, New Zealand, Australia kwa mfano hawako west.
 
Kenys wapo
Mkuu kupambana na Mzungu hakuhitaji makelele.
Kupambana na Mzungu kunahitaji akili na mipango na sio kelele za uzalendo kila kona.
Lakini swali moja muhimu la kujiuliza hivi kwanini tunapambana na Mzungu?, hivi hatuwezi kuendelea mpaka tupambane na Mzungu? wale wote walioendelea walipambana na Mzungu?

Malysia, Singapore, Indonesia, Newzealand, South korea, Misri, Moroco, Tunisia, Nigeria, Kenya, Ghana, Brazil, India nk hawa wote wanapambana na Mzungu?
Binafsi nafikiri tumekosa maarifa tunajaribu kutafuta wa kumpa lawama ili chama fulani kiendelee kutawala kwa kuonyesha watu kimeshindwa kwa sababu ya wazungu.
Wakenya wametuzidi kwenye mambo mengi kiuhalisia maana wao hawana rasirimali nyingi kama tulizonazo lakini wameweza kufikia uchumi wa kati na miundombinu pale Nairobi na Mombasa angalau ni ya kiwango fulani, pia wanatuzidi kwa mbali kwenye mzunguko wa kifedha kwenye miji yao mikubwa lakini sidhani kama wao walifika huko kwa kupambana na Mzungu.
Kenya wapo uchumi wa kati!kwa hii kipato cha raia kipo juu kuliko chakwetu.Elimu ni bora kuliko yakwetu!Wanateknolojia kubwa kuliko sis! Siamini kwa nchi za weusi walau SA na Botwana kidogo.Kenya hawana lolote.Hivi kuna bilionea anaefahamika Afrika na duniani unayemjua?
 
Mkuu science yetu yapo mambo inacover kabisa lakini bado tunakwama, mfano wataalamu wa mining tunao, mageologist tunao, civil engineer's wapo,mechanicla engineer's wapo, electrical engineer's wapo, production engineer's wapo, chemical processor wapo, procurement specilist wapo, logistics expert wapo, wahasibu wapo, watu wa finance wapo, watu wa marketing wapo, hao watalaamu wetu wote wanatoka chuo bora kabisa UDSM aka mlimani.
Tatizo sio uwepo wao,Tatizo Je,Wataweza kufit na Mfumo.

Elimu ya Darasani ni tofauti na upoingia kuifanya kivitendo wengi huchemsha.

Kumaliza Udsm sio Hoja,
 
Bado hatujafikia pahala ambapo dunia inatuhitaji kuliko sisi kuihitaji dunia, kifupi leo Tanzania na watanzania tusipokuwepo dunia hakuna itakachokuwa imepoteza ila sisi wenyewe watanzania ndio tutakuwa tunachakupoteza kwa kuiacha dunia...

Tuache jeuri, tujipangie mikakati yetu ya siri, tujiwekee malengo yetu ya siri, tuanze kutenda wenyewe kwa siri, Dunia itaona matokeo tu na kuanza kutuheshimu.


China, Russia (Putin), Japan, South Korea wote wamecopy technologia sasa wamesimama wanaheshimika.

Waiiba kidogo kidogo technology wakawafundisha watu wao.
 
Ila kwa mambo yanayopingana na Misingi ya mila zetu hayo lazima tupinge hata kama ni nchi moja moja.Mengine tutaendelea kuwa nao.Sisi si Kisiwa na hatuna technologia kama ulivyosema.tatizo la kufanya kimya kimya ni kuwa unaweza minywa kimya kimya vilevile.Bora sababu za kuminywa kwako ziwe wazi

Ila point zako zimetulia, labda unavyosema ndio njia sahihi. Another thought. Ila tunaongelea mbinu.

Sikubaliani na ushoga kabisa, ila tunaweza kuuangamiza kiurahisi sana kwa asilimia kubwa sana.

Control ni muhimu kupunguza magonjwa,

Kuwalinda watoto wetu.

Kuwaachia nchi iliyotulia, yenye maadili, inayojithamini, kujiamini na kusimama kwenye ukweli. Mikakati ya ukweli ni muhimu inayohusu nchi nzima labda EAC, SADCC wengi tu huko EU majimbo mengi ta USA hawakubali LGBT.

Kama tukiungana hawatuwezi, wenyewe wameungana ila sisi tunaongea mmoja, mmoja.

Mashoga wanaweza kufikia asilimia kubwa sana ya watoto hata kwa miaka ishirini tu.

Utafiti unasema asilimia kubwa watoto wa Zanzibar wameingiliwa sasa utapata kizazi cha aina huko.

Wahuni wanajulikana wako huru, sasa si unaweza kuanza na Kiringo hapo Zanzibar. Ili kuzuia wasiamie Dar.

Mtumishi wa TRA, Hassan Abuutwalib (Kiringo) ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kulawiti Mtoto - JamiiForums
 
Back
Top Bottom