Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
Mzungu alifiwa na mbwa wake akampeleka kanisani ili aombewe,padri akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni kanisa gani wanaombea? Kwasababu nina sadaka ya million 5 kwa padri atakae mwombea! Padri akajibu ah! Mbona haukusema kabla kua mbwa wako ni mkristo? Haya mlete!!