mbona jiko hamna? au anatumia solar energy?
Ugaliiiii au
Bila shaka ni malawi huko
Huwa wanapasha maji sana,halafu sufuria inatolewa motoni inawekwa chini,ugali unaanza kusongwa
dona hilo!