Mzungu na Limbwata

Huyu wifi penzi la kaka alikuwa nalo mkononi akalipiga teke sasa analitafuta kwenye hirizi, yaani ninapata picha alipolipa pesa ya kutengenezewa hirizi.
Hiyo nayo kazi pevu yaku tembea na hirizi 24/7 kwa nnavyo sahau sahau mbona ingekamatwa siku ya pili tuu..
na mara nimevaa handbag hii na mbadilishaji hand bag zangu ni watoto au my hubby atoe vitu vya huku aweke huku,hajaiona ikawa Tafran.....Mbona ningekua saa hizi niko ndani ya Boat ya AZAM au niko ndani ya Raha leo naenda Tanga..
 
Nimecheka sana mkuu hahaa mara hubby anaona picha yake na hirizi kwa nyumba. Ninafikiria angekuwa mdada wa kibongo amekutwa katika hali hiyo, kha wifi alijua wako uzunguni kumbe na hirizi ndani ya chumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…