ndugu zangu,
Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita.
Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban miaka miwili. Kusema ukweli nazipenda sana utamaduni za eneo hilo, lugha ya kiswahili, na mtindo wenu wa maisha unaonivutia hadi leo. Siku hizi niko njiani mwa kupata shahada yangu ya pili (uzamili) hapa USA lakini najua ni lazima nirudi kwenu punde nikiwa na nafasi.
Nikisubiria nafasi hiyo nimekuwa najipanga mambo ya baadaye ili niwe tayari kuhamia Tz. Suala linalonisumbua zaidi ni lile la mauzaji ya ardhi ikiwa mnunuzi ni mgeni kama mm. Nataka ardhi ya kujenga nyumba tu, lakini cjui kama nitakatarajiwa na mamlaka husika kuendesha biashara huko kwenye ardhi.
Naomba msaada wa mtaalamu kunielezea kidogo jinsi ya wageni kununua ardhi na nini vitahitajika.
Ahsanteni jamaani
We maliza masomo halafu njoo bongo.utapata ardhi.tunajua huwezi hamisha ardhi,itaendelea kuwa ya bongo.hapa kwetu kuna wageni kibao wengine hawajui hata neno moja la kiswahili wana miliki mieneo mikubwa ya ardhindugu zangu,
Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita.
Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban miaka miwili. Kusema ukweli nazipenda sana utamaduni za eneo hilo, lugha ya kiswahili, na mtindo wenu wa maisha unaonivutia hadi leo. Siku hizi niko njiani mwa kupata shahada yangu ya pili (uzamili) hapa USA lakini najua ni lazima nirudi kwenu punde nikiwa na nafasi.
Nikisubiria nafasi hiyo nimekuwa najipanga mambo ya baadaye ili niwe tayari kuhamia Tz. Suala linalonisumbua zaidi ni lile la mauzaji ya ardhi ikiwa mnunuzi ni mgeni kama mm. Nataka ardhi ya kujenga nyumba tu, lakini cjui kama nitakatarajiwa na mamlaka husika kuendesha biashara huko kwenye ardhi.
Naomba msaada wa mtaalamu kunielezea kidogo jinsi ya wageni kununua ardhi na nini vitahitajika.
Ahsanteni jamaani
Unamfahamu sabaya na Don nalimison? Hao ndio wanahusika na kuuza ardhi kwa wageni.ndugu zangu,

Mzungu katika pitapita zako utakuwa ulifika Tanga!ndugu zangu,

Mkuu hii ni reverse racism unafanya hapa
Hujawahi kwenda America,you dont know them,ila upo hapa kutoa ujinga wote huu.
Ubaguzi upo kila mahali,hata TZ,sasa dunia nzima ni manyang'au basi
Sijui kwanini watu mna roho ya reverse uonevu namna hii,I guess it makes your stupid hearts feel good nadhani

Nakuonea huruma ndugu kwani bayana una mtazamo finyu sana. Kubaguliwa ni kitu kibaya sana kwako na nimesikitishwa kusikia hiyo. lkn usiseme wazungu wote wawe manyang'au, bora ukague tabia na vitendo ya kila mtu mwenyewe. Nilikuwa ninauliza msaada tu.Nunua ardhi Marekani na ubaki huko huko. Wamarekani wazuri tu wakitaka kitu kwako ila ni manyang’au, wabaguzi, walafi na wabinafsi sana.
hapa kazi tu mkuuMbona kiswahili chako kimenyooka sanaa umewezaje
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Acha unafiki
Nipo America,Germantown Maryland
Watu washenzi wapo jamii zote...Europe kuna wabaguzi,India wapo,China wapo,Japan wao,etc
Sema wewe una experince na bad Americans una generalize dunia nzima
Mimi sitafuti mabaya ya jamii...natafuta positivity tu....najua kuna watu wabaya na wazuri....najitahidi kukaa mbali na wabaya na wasiwarudishii ubaya wowote,nakaa na wazuri zaidi,na sipo hapa kulalamika and other blah blah....
Wewe kama una mentality ya kijinga hivyo huwezi kaa nje ya TZ,kila sura utaona is out there to kill u,thats nonsense!