Mzungu mshenzi sana

Mzungu mshenzi sana

Hivi kwa bandiko hili,kwa nini tusijitambue kwanza kama waafrika badala ya kuhangaika kubaguana kwa vyama kama mkulu anavyotufundisha sasa.LIBYA walishashtukia hii kitu kupitia Gaddafi ndiyo maana wakamfanyizia ili kuumiliki utajiri wa mafuta.Hapa kwetu hatujasalimika,safari za nje zilikuwa kama safari za kwenda CHOONI tu,kila baada ya wiki mtu yuko ulaya au marekani.haikuwa bure kuna kitu kilikuwa kinasukwa pale,itatuchukua muda mrefu sana kuchomoka tulipo na hivi tunapoelekea we acha tu
 
Baada ya hapo wakawatuma Missionaries, Traders na Explolers waje kuwafanyia kina babu mabadiliko... Dah[emoji30] Nadhani babu yake Chenge alikuwa wa kwanzakwanza kushawishika[emoji24]
Waliwaletea mababu zetu zawadi za vipi vya kijitazamia waliona mali kweli
 
Dini zao walizoleta ndio kabisa zinazidi kutunyofoa hata kale ka elimu kidogo tulikuwa nayo!
 
mh........na kweli wametuweza...tusivyokuwa na akili tunazidi kukitukuza na kukisifia kingereza....wametunyonya na kutupa umasikini na bado watazidi kututawala ki fikra.....
 
Back
Top Bottom