mzungu kwenye daladala

tobycow

Senior Member
Apr 12, 2011
129
13
siku moja kulikuwa na mzungu mmoja na wabongo kibao kwenye daladala ya kuelekea masaki basi ilipofika saa ya kukusanya nauli konda akasikia harufu ya ushuzi, ndipo akauliza nan kajamba.jamaa mmoja akaropoka mzungu.ndipo mzungu akamjibu kyumanina ntakukamerun hapahapa
 
Kha! Vichekesho vingine kama matusi vile, ngoja tu nicheke. Hahahahaaaa...
 
Mzungu kumbe swahili-man.

Kweli. Wapo baadhi ya wazungu ni waswahili kuliko unavyoweza kufikiria.Yupo mmoja anaandika kwenye gazeti moja la kiswahili anajiita Makengeza. Mswahili hatari huyo mzungu.
 
Back
Top Bottom