Mzungu huyu hafai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzungu huyu hafai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir henry, Sep 18, 2011.

1. s

sir henry Member

#1
Sep 18, 2011
Joined: Sep 17, 2011
Messages: 34
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kinondoni barabara kuu zamani bagamoyo kuna aparments maarufu hapa jijini,kuna mzungu anaishi kwenye zile aparments mzungu huyu anatuharibia vijana kwa offer za vitubia hufanya ukarimu mkubwa( bia tu na pengine nyama choma) kwa vijana hawa mwisho hujifanya BWABWA Kwa maelezo ya vijana hao ghafla hukugeukia mtego huu wameingia wengi nasema wengi .nasema hatakama ana permit ya makazi lakini anashughulika nanini ? wanaUsalama wa Raia mpo ? isije ikawa ni JASUSI kajatuharibia vijana wetu.tahadharini vijana hasa wale wapenda pombe za bure jitu halina address kamili atakuwaje rafikiyako na kwenda kwake huku tena umelewa ?

2. Tuko

Tuko JF Bronze Member

#2
Sep 18, 2011
Joined: Jul 29, 2010
Messages: 11,186
Likes Received: 395
Trophy Points: 180
May you come again please... sijakuelewa.

3. Preta

Preta JF-Expert Member

#3
Sep 18, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,033
Trophy Points: 280
ukijitahidi ukaelewa.....usisite kunielewesha tafadhali.....am interested......

4. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#4
Sep 18, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
nimeelewa kwakweli nisiwe mnafiki..................na hao vijana kwanini bado wanapenda kuingia humo hvo wanakapenda hako ka mchezo

5. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#5
Sep 18, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,401
Likes Received: 736
Trophy Points: 280
Jamani...

6. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#6
Sep 18, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
we dare talk openly mkuu

speak now or forever hold your peace

7. s

shosti JF-Expert Member

#7
Sep 18, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 4,949
Likes Received: 28
Trophy Points: 145
kwani anawabaka kinguvu...na wewe mwanaume mzima rijali tuofa twa bia na nyama choma twa nini sasa,ni haki yawakute uroho tu.....kama huna pesa tulia kwako!

8. Kijuche

Kijuche JF-Expert Member

#8
Sep 18, 2011
Joined: Aug 26, 2010
Messages: 419
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Khaa! makubwa haya!

9. Mbugi

Mbugi JF-Expert Member

#9
Sep 18, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 1,488
Likes Received: 100
Trophy Points: 160
hebu fanya uje upya please!

10. Kunta Kinte

Kunta Kinte JF-Expert Member

#10
Sep 18, 2011
Joined: May 18, 2009
Messages: 3,660
Likes Received: 215
Trophy Points: 160
Ni wapenzi wa kale la mchezo hao, wala wasikushughulishe!!!

11. D

Dr Kingu Senior Member

#11
Sep 18, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 155
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Umaskini unawafanya hao vijana wahatarishe maisha yao. Maskini utapenda kaofa kumbe hakuna cha bure duniani. Na hiki kibabu cha kizungu lazima kitakuwa kimeathirika.

12. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#12
Sep 18, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,969
Likes Received: 2,963
Trophy Points: 280
Umenikumbusha ule wimbo wa "unapenda dezo dezo".
Cha bure ghali. Hao vijana wanapenda kuhongwa. Pumbafu zao,

13. u

uporoto01 JF-Expert Member

#13
Sep 19, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Sir henry sisi hatumfahamu huyu mzungu na sehemu hujaielekeza vizuri,kwanini usichukue hatua na kuwajulisha polisi kuhusu huyu jamaa, watamwekea mtego na kumnasa kiulaaani hata kama hawatamfikisha mbele ya sheria huo upepo watakaomtoa utapunguza kasi yake.

14. analysti

analysti JF-Expert Member

#14
Sep 19, 2011
Joined: Aug 24, 2009
Messages: 704
Likes Received: 354
Trophy Points: 80
Anamaanisha kwamba " Huko kinondoni, kwenye barabara kuu, zamani ikiitwa bagamoyo road (not sure), Kuna jengo ambalo lina apartments. Kuna Mzungu anaishi knye hizo apartments anawaharibia vijana kwa ofa za bia na pengine nyama choma. Hufanya Ukarimu mkubwa kwa vijana hawa, mwisho hujifanya yeye ni shoga, hii ni kwa mujibu wa hao vijana wenyewe, wakiwa ktk harakati za kumshughulikia, ghafla anawageuka na kuwashughulikia wao. Vijana wengi wameingia kwenye mtego huu. Hata kama ana kibali cha kuishi Tz, anashughulika na nini? Wana usalama wa raia Mpo?, asije akawa ni jasusi amekuja kutuharibia vijana wetu. Tahadharini vijana, hasa wale wapenda pombe za bure, jitu halina adress kamili atakuwaje rafiki yako na kwenda kwake huku tena ukiwa umelewa?"

We bwana, hakuna kijana anyeharibiwa, anajiharibu mwenyewe, we unaweza kwenda huko, je utakubali kuliwa na dume mwenzako???. Mimi bora nife kuliko kumegwa!!!. Kwa hiyo hao vijana ni mchezo wao, au hata kama ni wewe mwenyewe, basi huo utakuwa ni mchezo wako wa isku nyingi sema tu haujaurasimisha.

15. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#15
Sep 19, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,433
Likes Received: 12,700
Trophy Points: 280

HA HA HAAAA NYI WAWILI MMENIFUFAGISHA SAAANA

16. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#16
Sep 19, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,433
Likes Received: 12,700
Trophy Points: 280

WE MTOA UZI UMEJUAJE KAMA WANAINGIAGA KUANGALIA VIDEO TUU JAMANI!? au unewapiga chabo?!!!!

17. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#17
Sep 19, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,433
Likes Received: 12,700
Trophy Points: 280

HAHAHAHAA

18. Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka JF Bronze Member

#18
Sep 19, 2011
Joined: Jul 20, 2010
Messages: 4,530
Likes Received: 41
Trophy Points: 0

Hii ishu kama nilishaisikia tu jamani! Mm inanipa simanzi maana hata kuna kijana wetu wa hapa JF anaitwa ritz ameshaingia kwenye huu mtego wa mzungu huyu.

19. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#19
Sep 19, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,433
Likes Received: 12,700
Trophy Points: 280

NACHKIA SANA WATU WAVIVU, HAWAPENDI KUJISHUGHULISHA ,KAMA VIPI MTU UNAFYAGIA HATA BARABARA,UNAPATA HATA HELA YA CHIBUKU LIFE GOES ON,NAOGOPA BAN NINGEWATUKANA HAO KAKA POA,

20. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#20
Sep 19, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,433
Likes Received: 12,700
Trophy Points: 280

JAMANIIII!!!

Loading...