kinondoni barabara kuu zamani bagamoyo kuna aparments maarufu hapa jijini,kuna mzungu anaishi kwenye zile aparments mzungu huyu anatuharibia vijana kwa offer za vitubia hufanya ukarimu mkubwa( bia tu na pengine nyama choma) kwa vijana hawa mwisho hujifanya BWABWA Kwa maelezo ya vijana hao ghafla hukugeukia mtego huu wameingia wengi nasema wengi .nasema hatakama ana permit ya makazi lakini anashughulika nanini ? wanaUsalama wa Raia mpo ? isije ikawa ni JASUSI kajatuharibia vijana wetu.tahadharini vijana hasa wale wapenda pombe za bure jitu halina address kamili atakuwaje rafikiyako na kwenda kwake huku tena umelewa ?