falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
Mkuu kuna mwaka nilikuwa huko ughaibuni,nikamla mtoto kikuyu sbb ya kiswahili cha kibongo tu,kwa hilo sikupingi,na hata wakenya wengi niliokutana nao milio ya ktk simu zao ilikuwa bongofleva tu
anaebisha na abishe si wengine huku mombasa kidaizain tunaish maisha ya kisupastaa sababu ya lafudh yetu,wadada wakenya ni wehu pindi waskiapo club kaingia mtz,watakuzongazonga yaani taabu tupu,mi nitakaa huku huku manake madem wa bongo wananata while huku demu ndo anakuomba namba,tena sio demu tu mashaallah hadi mama zao
