Mzumbe wameniletea ujumbe huu hapa

ombeni34

Member
Aug 17, 2020
44
15
Nimemaliza diploma, na nimeapply vyuo viwili Mzumbe na MoCU, ila mzumbe wameniletea ujumbe huu hapa
Screenshot_2020-09-24-15-25-49.jpg
 
Unaonekana ulishawahi kuomba chuo na ukachaguliwa. Jaza fomu ya TCU uiwasilishe hicho chuo wakufute kabla ya kuomba upya
 
Ndio, nilisoma diploma. Baada ya kuapply nililetewa ujumbe huo huo, nikafanya kama ndugu yangu alivyoshauri na nashukuru nikachaguliwa round hiyo ya kwanza

Naomba kufahamu wakati unafanya application, je uliweka cheti chako cha diploma au transcript ya matokeo, sababu mm sina cheti ila naweza kupata transcript chuoni, naomba nijulishe ndugu
 
Naomba kufahamu wakati unafanya application, je uliweka cheti chako cha diploma au transcript ya matokeo, sababu mm sina cheti ila naweza kupata transcript chuoni, naomba nijulishe ndugu
Unaweka cheti cha diploma... pamoja na AVN unayotakiwa kuipata kutoka NACTE
 
Back
Top Bottom