Mzumbe University wanatoa kozi za PhD?

GeeM

JF-Expert Member
Apr 11, 2014
1,897
1,324
Je Kuna PhD courses pale Mzumbe University? Na kama zipo ni zipi? Mode of study ikoje. Kwenye website yao hakuna lolote la kusaidia. Anayefahamu anijuze tafadhal
 
Huu Uzi sijui kama utaipata wachangiaji mkuu..
Ni heri ukawapigia maana kwenye website yao wameweka number zao siku za kazi wapigie
 
Mzumbe wameshusha sana elimu ya Tanzania hasa Masters ya HR , yaani mzumbe Dar pale kama una mkeo anasoma aisee andika maumivu, kuna vivulana vinafanya mabenki na ofisi kubwa kubwa vinalba wake za watu kwenye Car Parking, aisee pale hapaa, Wanaume mnachapiwa wake zenu balaa na wake zenu wanalalamika wanatoa nje kwa kuwa nyie mnaishia chips mayai na kunwywa pombe usiku badala ya kubembeleza mamaa.

Ukitaka mkeo asichepuke akitoka Chuo mpige bao moja hata la kusimama
 
Umeenda nje ya mada mkuu.
 
Elimu uliyonayo hajakusaidia
 
Back
Top Bottom