Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
GPA kubwa ni necessary but nakubali kwamba sio sufficient condition.. na ndo mana pia kunakuwa na interviewKupata GPA kubwa siyo kujua kufundisha. Unaweza kuwa unajua vitu ila haujui jinsi ya kuviwasilisha
Ila pia mara nyingi wenye GPA kubwa siku zote ndo huwa wanapewa kipaumbele