Mzumbe University wameshatoa placement

Mzumbe University wameshatoa placement

Unaweza ukawa na GPA nzuri lakini wakati wa imterview ya oral presentation ukachemka.

Kumbuka ni kazi ya kwenda kufundisha, moja ya usaili ambao wengi hufeli ni kifanya presentation tena mbele ya maprofesa nk[emoji1787]
Unatumia projector? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Asilimia mia classmate afu mshkaji ndo best student wetu mwaka wetu kaliwa kichwa dah.
Chuo chenu wameshindwa kumchukua huyu jamaa kwa njia rahisi?

Best student wetu alirudishwa Chuo kuwa TA kwa njia ya usahili wa kawaida(ule usio na mchujo kama wa PSRS).

Nafasi zilitangazwa watu wakaapply, iikiwemo yeye. Kwenye usahili alipita kiurahisi tu
 
Kamaliza apo apo mzumbe ndo maana nashangaa tulikuwa wote mpaka oral
 
Back
Top Bottom