Mzumbe University toeni vyeti, vijana wanapitwa na fursa

jellyFish

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
316
127
Inashangaza sana katika zama hizi za teknolojia, vyeti vya kuhitimu kozi mbalimbali imekua shida kutoa. Mbaya zaidi wamekaa kimya bila kutoa sababu za kuchelewesha vyeti kwa wahusika. Hili swala nalo linahitaji msukumo toka ngazi za juu?
 
Back
Top Bottom