specialist88 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 1,140 Reaction score 619 Nov 1, 2016 #1 Hivi hii branch inawatu wanaojielewa kweli, unapiga simu weeeeee mpaka chaji inaisha, simu inaita siku nzima wao hawapokei…. Sijui walioajiliwa Reception wanafanya kazi gani?! Badilikeni tafadhari. Acheni upuuzi.
Hivi hii branch inawatu wanaojielewa kweli, unapiga simu weeeeee mpaka chaji inaisha, simu inaita siku nzima wao hawapokei…. Sijui walioajiliwa Reception wanafanya kazi gani?! Badilikeni tafadhari. Acheni upuuzi.
M mamanzara JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 651 Reaction score 196 Nov 1, 2016 #2 Hata main campus ni hivyo hivyo namba zao walizotoa kwa msaada nyingine zinaita bila kupokelewa na nyingine hazipatikani, sijui ni kwa nini.
Hata main campus ni hivyo hivyo namba zao walizotoa kwa msaada nyingine zinaita bila kupokelewa na nyingine hazipatikani, sijui ni kwa nini.
specialist88 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 1,140 Reaction score 619 Nov 2, 2016 Thread starter #3 Wahuni sana wale…