Mzumbe Mbeya ni zaidi ya Mbuga

Hahaha jf ni stress free zone
 
Napapata fresh mkuu pale asee kuna watoto asikwambie mtu.Niliwahi mtafuna mmoja kipindi nasoma mbeya day nilikuwaga najipitishaga kucheza volleyball akanielewa hivyo hivyo mzee nikagegeda.
 
Nawafahamu mkuu
Ila wa mafiati kiboko wanajiuza full
 
Daa tumekianzisha sisi kile chuo 2005 to 2008 kipindi hiyo mamaland ndio inawika na Director wetu Ross Kinemo! Sasa hivi madogo wanabehave utadhan Cbe?
Ahaha..mkuu kumbe ulikua pale...dah kuna demu alimaliza mwaka huo 2008, asa hv ndo namla...mtoto bado mkali japo umri umeenda na ana mtoto
 
Uliwala
 
Kapime kwanza maana umekanyaga sehemu hatari sana kwa sisi ambao tunaijua vizuri FOREST , TIA, MZUMBE na Hapo CARNIVAL basi nakushauri uka check Afya kwanza Ukiwa umesalimika ukome kwenda sehemu hizo utakuja kufa !!!
Weeee
 
Vitoto vya Chuo vinaweza kula chips kuanza jumatatu hadi jumapili jioni

Kwanini makalio yasiwe nakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…