siansakala
Member
- Aug 12, 2012
- 75
- 10
Nawapa polee sana mliochaguliwa MZUMBE UNIVERSITY,,,chuo hiki ni kizuri LAKIN likzo zao ni ndefu kichizi..mfano first year tulifunga mwezi wa 2 wamefungua mwezi wa 7 mwaka huu,,,afu 2nd year wamefunga mwezi huu wa 8 na wanafungua mwezi wa 2 mwaka 2013...UPO HAPO....kama huna sehemu ya kupigia tempo au job yoyote..LAZIMA UKAE....POLEEEEEEEEEEEEENI SANA..karibuni mzumbe.