MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,660
Mzalendohalisi:
Wewe sio educator na sababu unazotoa zinaboronga. Kwa maendeleo ya automation yaliopo sasa vyuo vya ufundi wa kati havina tena mpango.
Hata hayo mapinduzi ya kilimo unachosema wewe hayaji kwa kuanziswa shule za VETA. Kumbuka kuwa kila wilaya ilikuwa na shule ya sekondari ya kilimo na vyuo kibao vya maafisa kilimo wa ngazi mbalimbali na bado output ya mavuno kwa heka moja kwa Tanzania ni ndogo sana hata kwa kulinganisha na nchi za kiAfrika.
Nchi zinazoendelea zimehamua kufuata R&D (Research and Development) approach. Vichwa vinafanya kazi (R&D) na baadaye instructions zinapewa kwa watu wanaofanya production kufuatwa. Mtu yoyote mwenye akili timamu akipewa masharti ya kupanda mpunga atafuata na hakuna sababu ya kumpeleka chuo miaka mingi.
Kwa mtaji wa niliyoyasema vyuo vikuu ni muhimu. Na kama tunataka middle level, hicho ni kitu rahisi sana. Tuanzishe system ya entry level. Mtu yoyote anayemaliza chuo kikuu basi afanze kazi kama entry level kwa muda wa zaidi ya miaka miwili. Na kutokana na juhudi zake za kazi basi middle na senior level zifuate.
Hule utaratibu wa kuwa mtu ametoka chuo kikuu basi anakuwa Injinia umeharibu sana ufanisi wa makazi. Watu wengi wana akili za kufaulu mitihani lakini ni mabox kwenye kazi.
ndio maara kuna boom ya kupeleka watoto maleysia...vyuo vikuu vya tanzania ni 0.. I mean zero. I don't care umesoma wapi in tanzania.
Ndio maana waajiri wengi wanao kuja kutoka nje (fdi) wanaona ni bora watume watu usa and uk kuja kurecrute watanzania. Sababu kisomo chetu tanzania bado ni ubabaishaji.
cha kushangaza hata viongozi wetu wakuu kabisa wana mawazo haya!
Ndio maara kuna boom ya kupeleka watoto Maleysia...Vyuo vikuu vya Tanzania ni 0.. I mean Zero. I don't care umesoma wapi in Tanzania.
ndio maana waajiri wengi wanao kuja kutoka nje (FDI) wanaona ni bora watume watu USA and UK kuja kurecrute Watanzania. Sababu kisomo chetu Tanzania bado ni ubabaishaji.
shabash! But this list i remember appearing in another defunct forum 3 years or so ago....and nothing much has been done. The government knows about this, there was a motion in parliament to go through the degrees of the waheshimiwa in 2006 but i think the speaker abandoned it as wengi wangeunguzwa.
Agustino lyatonga mrema is among one of them with a masters from these guys - wapo wengi tu hapa tz!
This has gone just too far! Tumekuwa tukisikia wanagawa Masters and PhD kwa wanasiasa vihiyo, kumbe hata wahadhiri wenyewe wamenunua? Hii inatisha, nadhani kuna umuhimu wa chuo kizima kuchunguzwa.
Waliokutwa na vyeti haramu Mzumbe wavisafisha
Theopista Nsanzugwanko
Daily News; Monday,February 16, 2009 @20:11
Of all universities, including vyuo vyetu hapa Tanzania, kwa nini Chuo Kikuu Cha Malawi? Mbona naanza kuhisi kama kamchezo flani hivi kanaendelea
Binafsi sijaielewa hiyo sentensi, huo ni udanganyifu waliufanya na wanapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria. 'KUTOTUMIKA kwenye shughuliza chuo ina maana wanaendelea kupata mshahara na marupurupu mengine huku wakiwa hata hawafundishi?
HAo jamaa kama ulivyosikia sio vilaza kama unavyofikiri na sio matapeli. Wana undergraduate qualification za kuaminika na wana masters degree za uhakika na kutoka kwenye vyuo vya uhakika. Ni kuwa tu hicho chuo walichosoma kina walakini. sasa kama unataka kutoa adhabu ni kwa hicho chuo cha PWU. Hao wahadhiri unachoweza kuwatendea ni kuwasaidia ili watimize nia yao ya kupata elimu na kuendelea kujenga TAIFA.
Chuo cha Malawi kama kina sifa WHY NOT?!
Chuo cha Malawi kama kina sifa WHY NOT?!
Yaani kuna watu nilisoma nao wakapata GPA ya lower 2nd they were so weak kitaaluma...you can imagine!
Nimekutana nao juzi wana masters za MU tayari...sasa sijui waliandikiwa au walitoa pesa..au ilikuwaje!
Nachokiona sii kazi kupata Masters ya MU!
Guys we thrieve for quality and we should not compromise it!
Wasi wasi unakuja pale...of all the universities around the world why Malawi for PhD?????
Kwani University of Malawi ina mapungufu gani? Nyie si mnataka wasome kwenye Universities zinazotambulika? Malawi is a recognised University, full stop!! And who knows, may be there was a budget coinstrant for them to join other Universities. Au mnadhani wao hawapendi kusoma Havard au Oxford?
Hapana mkuu, tungependa waalimu wasome reputable Universities si lazima Havard, Cambridge ama Oxford. Maana watoto wakifundishwa na waalimu vilaza itakuwa shida kwa taifa la baadaye. Sidhani kama kwenye ranking University of Malawi inakizidi chuo cha Dar es Salaam. Ninaangalia reputation tu mkuu....isije kuwa ni wale wale WPU...
Natumaini wasiwasi wako na Malawi hautokani na kasumba ya Ulaya ndio kuna Elimu na sio Afrika. Utashangaa ukifika chuo cha ulaya ukakuta Professor kutoka Malawi ndio anamwaga nyanga hapo
Kwani University of Malawi ina mapungufu gani? Nyie si mnataka wasome kwenye Universities zinazotambulika? Malawi is a recognised University, full stop!! And who knows, may be there was a budget coinstrant for them to join other Universities.
Au mnadhani wao hawapendi kusoma Havard au Oxford?
HAo jamaa kama ulivyosikia sio vilaza kama unavyofikiri na sio matapeli. Wana undergraduate qualification za kuaminika na wana masters degree za uhakika na kutoka kwenye vyuo vya uhakika. Ni kuwa tu hicho chuo walichosoma kina walakini. sasa kama unataka kutoa adhabu ni kwa hicho chuo cha PWU. Hao wahadhiri unachoweza kuwatendea ni kuwasaidia ili watimize nia yao ya kupata elimu na kuendelea kujenga TAIFA.
Chuo cha Malawi kama kina sifa WHY NOT?!
Mkuu, yaani kweli mtu ambaye ni mhadhiri kitaaluma anasoma degree za online na hata bila kuverify kama zinatambulika au la? kisha tunasema hawa sio matapeli? Sidhani. walitaka short cuts tu hakuna kingine, na ndipo utapeli unapoingia pia.
wao kama wanataaluma walitakiwa wawe mfano wa kutafuta uhalali wa hizo degree..ni mojawapo ya mambo wanayofundisha jamani, au tusema wanafundisha nini kama jambo dogo tu la kufanya cross-checking ya information ili kuzipa uhalali wanashindwa?
To substatiante my worries Malawi University rank 58 in Africa and in the world is number 6,7004 whilst university of Dar es Salaam rank rank 18 and 3496 respectively. Sasa hawajamaa kukimbilia Malawi kuna sababu iwapo degree zao zinapatika UD, ama ndo kuogopa kuliwa vichwa
Source:
Hata ulaya ukimkuta mmatumbi ama Mkwere anamwaga nyanga, chuo kinafata ethics mazee hakuna kupeana wala kuoneana.
Masa
Mkuu ulitaaka wasome nini?......nyie ndio wale mnaoongeza miaka ya kusoma na kufanya vijana wapate hela wakiwa wazee.....