ni katika hali ya kulifanya livutie zaidi!Mbona bango limefungwa fungwa
NASIKIA NALO limewekwa kwa hisani ya wale watu wetu??
View attachment 194958
vipi toeni maoni bango likaeje na kwa nyenzo (materials) zipi?
Mkuu ulipotelea wapi?
Hizo zako za mwaka gani??? Hii ilikuwa 2012
mtumeeeeeee, hawa naona walizunguka nyuma ya bango wakamalizana