matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,584
- 15,361
hii inaua kuamiliana.
kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani.
kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani.
Sio hivyo tu...wanawake ambao walishachepuka kabla ya ndoa...ni ngumu sana kutulia ndoani asichepuke...hii inaua kuamiliana.
kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani.
Zama hizi kupata mwanamke/mwanaume muaminifu 100% .. ni sawa na kupanda mpunga jangwani kisha uanze kutarajia kupata mavuno
picha linaanza usipo mgonga kipindi cha ndoa hata ndoa hutaiona maana atakuacha mapema ataenda kwa wanaojua kugonga...cha msingi ni kuprotect kilichokuwa chakohii inaua kuamiliana.
kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani.