mzizi wa matatizo ya ndoa ni kufanya tendo la ndoa kbla ya ndoa

Zama hizi kuuziana gunia kwenye mbuzi kuko nje nje ya nn tusijaribu he huyu mbuzi anafaa kwa supu
 
Zama hizi kupata mwanamke/mwanaume muaminifu 100% .. ni sawa na kupanda mpunga jangwani kisha uanze kutarajia kupata mavuno

IMG_2848.JPG


Mkuu haya mambo ni Magumu sana

Mungu atusaidie sana
 
hii inaua kuamiliana.
kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani.
picha linaanza usipo mgonga kipindi cha ndoa hata ndoa hutaiona maana atakuacha mapema ataenda kwa wanaojua kugonga...cha msingi ni kuprotect kilichokuwa chako
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom