Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,226
Sioni hoja hapo. Kwani adhabu ya ukosefu wa nidhamu ni kumfungia mchezaji milele? Huyu naye akiona hawana nidhamu si atawatosa? Yaani wewe unaona ni nafuu zaidi kulinda nidhamu kwa kupoteza michezo kila kukicha ilihali tunao wachezaji wenye uwezo? Sikubaliani na wewe katika hili. Mziray kama kocha anajua anachokifanya. Mchezaji asiye na nidhamu huwa ana adhabu yenye mipaka na siyo kumfungia maisha.
Huu sasa ni ubishi usio na msingi. Kocha mpya kakiri hajateua timu kwa sababu ya msingi Alichelewa kuja hivyo hawafahamu wachezaji. likaundwa jpo likiongozwa na Kayuni wala Mziray hakuwemo ndio wakawarudisha hao unaowapinga. Sasa Mziray kutoa mawazo yake tatizo liko wapi? Acha hizo kati ya hao watatu, Mziray, Chuji na Kaseja kuna mmoja alikumegea demu wako ndio maana una hasira nao sana.I respect your opinion.......nakumbuka kunamhcezaji mmoja anaitwa Romario Faria alileta kejeli na akawekwa kando mpaka leo, japokuwa timu yake ilimiss lakini waliona nidhamu ni jambo lenye manufaa in the long run, kuliko ushindi wa siku 2.
So let us see kama Taifa stars itakuwa inashinda baada ya jamaa hao kurudishwa na TFF.
kaka acha hasira,mbona mkali kwa jamaa!huu sasa ni ubishi usio na msingi. Kocha mpya kakiri hajateua timu kwa sababu ya msingi alichelewa kuja hivyo hawafahamu wachezaji. Likaundwa jpo likiongozwa na kayuni wala mziray hakuwemo ndio wakawarudisha hao unaowapinga. Sasa mziray kutoa mawazo yake tatizo liko wapi? Acha hizo kati ya hao watatu, mziray, chuji na kaseja kuna mmoja alikumegea demu wako ndio maana una hasira nao sana.
Kwani uliambiwa Taifa Stars ilikuwa inakosa ushindi wakila siku kwasababu ya kaseja na Chuji...Tatizo Maximo hakuwa wazi utovu wa nizamu alioufanya Kaseja mpaka siku anaondoka...2 kaseja ndiyo kipa bora hapa Tanzania ukikataa basi wewe mbishi hivyo basi acha Taifa stars ifungwe ikiwa na watu tunao waamini kama chuji, kaseja, Boban tutalizika maana hatutakuwa na ang'ekuwepo Kaseja...Hata timu hujiamini inapokuwa na wachezaji wenye uwezo...So let us see kama Taifa stars itakuwa inashinda baada ya jamaa hao kurudishwa na TFF.
Je unawakumbuka paul gazza,paul ince na boban wa crotia kwa kiwango chao kibovu cha nidhamu lkn walifanikiwa kuwika ktk timu ya taifa.pia nadhani hamna asiyemjua rooney mtoto mtukutu kama ferguson angeamua kutompanga kwa sababu ya utukutu wake leo angekuwa wapi na hakuna asiyejua mchango wa rooney old trafford.mziray yuko sawa
tatizo huyu mziray ni mnafiki na mpika majungu sana,
tangu nimeanza kumjua na kusoma makala za nyingi,
huwa zimejaa mizengwe, maximo alipewa jukumu la kuwa
kocha mkuu wa staz, na alisimamia uamuzi wake,
tatizo la watanzania tumezoea mwalimu wa timu ya taifa,
kuitiwa wachezaji kama huyu ***** paulsen,
kawaona wapi hawa kina kaseja, chuji kuwa ni wazuri?
kama tff kutawaita? maximo hakuwa na kosa kwa wenye akili,
lakini alikuwa na kosa kwa sababu wengi wetu tunapenda sana
kiongozi kufanya yale tunayoyaona mawazoni mwetu.
Huu sasa ni ubishi usio na msingi. Kocha mpya kakiri hajateua timu kwa sababu ya msingi Alichelewa kuja hivyo hawafahamu wachezaji. likaundwa jpo likiongozwa na Kayuni wala Mziray hakuwemo ndio wakawarudisha hao unaowapinga. Sasa Mziray kutoa mawazo yake tatizo liko wapi? Acha hizo kati ya hao watatu, Mziray, Chuji na Kaseja kuna mmoja alikumegea demu wako ndio maana una hasira nao sana.
Kaka me ninavyojua maximo mpaka anaondoka hakuwahi kutangaza utovu wa nidhamu alioufanya kaseja na yameshaongelewa mambo mengi kuhusu kilichomtoa kaseja stars maximo ndo mwenye ukweli moyoni mwake.Tena kwangu mimi naona maximo hakuwa sahihi ilitakiwa atangaze hadharani utovu wao wa nidhamu walioufanya.Interesting argument, lakini pamoja na utukutu na manjonjo yao yooote, sijawahi kusikia wakishangilia timu zao zinapofungwa. Kusema kweli nakubali kuonekana mjinga, lakini nakubaliana na uamuzi wa Maximo wa kumuweka Kutomchagua kaseja(nina haki ya kutoa maoni hata kama ni mabaya). Siwezi kukubali ujinga wa Kasema wa kushangilia timu yake kufungwa kisa hakupangwa yeye golini. Uliowataja Kina Gazza, Boban, Ince na hata Bobic, utovu wao ulikuwa kwa mademu, jeuri, pombe na kuzozana na wenzao. wakiwekwa benchi walikuwa wanafanyakazi zaidi ili wapewe namba tena, hawakushangilia timu zao zilipofungwa, si klabu wala timu za taifa.
Kaka me ninavyojua maximo mpaka anaondoka hakuwahi kutangaza utovu wa nidhamu alioufanya kaseja na yameshaongelewa mambo mengi kuhusu kilichomtoa kaseja stars maximo ndo mwenye ukweli moyoni mwake.Tena kwangu mimi naona maximo hakuwa sahihi ilitakiwa atangaze hadharani utovu wao wa nidhamu walioufanya.
Kaka haupo sahihi, kuwaeleza raia ukweli angeonekana vp hana nidhamu.Kutongaza kwake ndo kulimfanya yeye aonekane mnafki,na kuhusu hizo habari za wa2 wa karibu mbona yameshaongewa mengi coz binadamu hakosi cha kuongea.wapo wanaosema kaseja na maximo walikutana ugoni,wapo wanaosema kaseja alikimbia na mpira wa dawa kulevya uliokuwa unatoka brazil enzi hizo starz ilipoenda brazil.je haya yote kayafanya kaseja?2ache kusikliza maneno ya mtaani maximo ndo alitakiwa kusema ukweli kama ameshindwa yeye ya nini sisi kuongea?Ni kweli hakutangaza hadharani, lakini ukiwauliza watu waliokaribu watakwambia hiyo ndio sababu[alishangilia Ivo Mapundo alipofungwa Goli na kum-jibe Maximo kuwa hawezi hata kuchagua golikipa mzuri], unajua ukiwa kocha ukianza kuropoka kwenye vyombo vya habari ndio kukosa nidhamu kwenyewe. Kuna baadhi ya mambo yanaishia kambini, na kuna baadhi ya mambo hayatakiwi kusemwa, yanatekelezwa kwa vitendo tu. Ukiangalia makocha wenye uwezo hawafundishi soka wala maadili yanayoendana na soka kupitia media, wanafanya hayo uwanjani. Media ni kuwaacha wa-speculate tu, kama ni kuongea nao ni kuongea nao kuhusu mambo yayaweza kuingia kwenye media.
Simaanishi kuwa Maximo ni malaika, inawezekana kabisa alikuwa na makosa fulani kwenye ufundishaji wake.