Mzinga!


Sasa kuna faida gani ya kuhonga alafu mwishowe unaambulia hapo!
 
Na ndiyo mana nasema msichana mwerevu utamgegeda lakin nawe utachunwa sana mwisho wa siku ngoma droo
hapo ushagonga sana mwisho unagundua dem anapenda pesa sana ndio unatupa kule
 
*************
Mkaka: Mambo?
Mdada: Mzushi wewe, sina hamu na wewe
Mkaka: Ooh pole, nisamehe
Mdada: *kimya...
hapo kwenye red mtu katoswa baada ya kukataa kuchunwa na mimi natoswaga hivyo hivyo

Sio wewe tu mbona hata mim nimeshakubali kutoswa design hiyoo freesh tu mpaka ntampata wa ukweli
 
Mie siwezi date mwanaume mwenye pesa za mawazo

Tatizo linaakuja wapi..mimi ni mpenzi..so kati ya mimi na wewe tunapeana mapenzi tu,,ndo mana wkt unatongozwa unaambiwa mpenzi mpenzi etc..tatizo ni kwamba wanawake wakiafrica wanahisi na kulelewa kana kwamba kupata mwanaume ndo mwisho wa shida zake za kiuchumi etc..unavyojidai huwezi date mwanaume wa hivyo dating yenyewe haina uhusiano wowote na financial support..shida zote peleka kwenu we njoo tupeane mapenzi..lakini kitu kama hichi mtu kama wewe huwezi elewa hata siku moja..over..!!
 
Na yeye hawezi ku-date na mwanamke mwenye mawazo ya pesa.

Halafu unaweza kuta huyu huko kwao kwenyewe ni choka mbaya design sasa..demu anapenda gari nkt mzee wake hna hata ndinga..anashinda coco weekendz hom ramani ya msos hisomeki hahahaha madem wa bongo full maigizo
 

Mhhh jaman dia yani ndo umenileta kuniposti huku?kisa nimekuomba buku 9?mwanaume huna dogo hadi hili unalileta JF... Basi baki na hela yako sitaki tena, watatunza wanaume wenzako.
 
tatizo vijana wanataka k alafu hawataki kugharamikia. wewe kama mwanaume lazima ukubali kuwa papuchi zote unazoona mtaani zipo for sale...u just have to reach the asking price.

Hahahahahahahahahahahahahaha eti zipo for sale nimechekaje sasa hapa. Wanawake wengi wanapenda wapewe hela hata kama utamuona anayevunga anavunga tu ila ukweli rohoni anatamani angegharamiwa kwanza ndio atoe huduma. Watu wanauza privately and publicly (ndo hawa machangu wa mtaani). Wanaume hawataki huo ukweli. Ni ngumu kumesa ila ndio hivyo. Mie nimeamua kuwa sister kuepusha msongamano
 

mhm...mapya haya hadi wewe umekubali ukweli wa kwamba kila demu anauza either privately au publicly...naona somo linaingia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…