Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,164
- 2,670
Hapo unauchuna, ukituma tu, inageuka kuwa tabia
Mdada: Mambo?
Mkaka: Poa, vipi hali?
Mdada: Safi, nina hali mbaya jamani
Mkaka: Kulikoni?
Mdada: Deki ya cd imeniharibikia, nimepeleka kwa fundi nimeambiwa mpaka nilipe 9,000!
Mkaka: Pole sana, peleka akatengeneze
Mdada: Aah na wewe, mi nilitegemea utaniwezesha...!
Mkaka: Kumbe shida yako ni hiyo!? Aisee dah nikipata chance ntakurushia kwa sasa simu haina hela imebaki kiduchu..!
Mdada: Lini?
Mkaka: Nikipata nafasi, kwa sasa niko busy kidogo
Mdada: Nasubiria hiyo hela
Mkaka: Poa haina mbaya...
Mdada: Nataka leo lakini kabla ya kesho
Mkaka: Ntaangalia
Mdada: Owky!
*************
Kimya kingi mkaka yupo busy na kujenga maisha hata nafasi ya kutafuta muda wa kuweka hela hana, kesho yake
*************
Mkaka: Mambo?
Mdada: Mzushi wewe, sina hamu na wewe
Mkaka: Ooh pole, nisamehe
Mdada: *kimya...
NOTE:
Mkaka hapo tayari keshaweka hela tayari anajianda amrushie lkn keshakumbana na sms ya namna hiyo, afanyeje?
Tehetehe yani buku9 ndio zakutoa jasho hivo?eti mkaka yuko bize kujenga maisha tehetehe
Tehetehe yani buku9 ndio zakutoa jasho hivo?eti mkaka yuko bize kujenga maisha tehetehe
Lazima utakuwa umezaliwa mwaka 1961 wewe, vijana wa siku hizi hatuhongi
Sijaelewa vizuri
sio sasa hivi nimepata kipimo kizuri cha kupima mapenzi nikiombwa hela nasema sina nikiachwa kisa sina pesa najua hapio mhakuna mapenzi ya kweli basi taratibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu naanza kukusanya virago vyangu
Duuh! Yaani hela ukisema huna anakuacha njiani!!? Sipati logic
Suala siyo buku 9, suala ni muda wa kufika kwenye vibanda vya hela ili kuweka hela ndo shida, mdada wa watu anaona jamaa kamzingua, pamoja na kuomba msamaha hajajibu...kama ingekuwa ni wewe ni huyo mdada, ungefanyaje na wakati tayari mwanaume kaomba msamaha?
hata bahkresa ukimuibia au kumdhurumu ekfu kumi hatofuraia tatizo kufanywa mjinga ndio sababu inayowafanya wanaume kuwakwepa wa kina mama
*************
Mkaka: Mambo?
Mdada: Mzushi wewe, sina hamu na wewe
Mkaka: Ooh pole, nisamehe
Mdada: *kimya...
hapo kwenye red mtu katoswa baada ya kukataa kuchunwa na mimi natoswaga hivyo hivyo
Mie siwezi date mwanaume mwenye pesa za mawazo
Mie siwezi date mwanaume mwenye pesa za mawazo
Hahahahahaha!