Kwamba Mamba kaongozana na Morani au?
kua uyaone ndio haya..................
View attachment 100573
kua uyaone ndio haya..................
View attachment 100573
kuna nchi JK alialikwa akawambiwa avae kama hivi kwenye dhifa ya Taifa....akachomoaNashangaa kwa mara ya kwanza naona Pinda anacheka bila kulia kwani alishajuwa kuwa jamaa ni kituko, anafungua maonyesho hata chupi hajavaa. Tamaduni zingine hizi jamani, hivi si nasikia na sie Tanzania tunataka vazi la taifa liwe hili? Jamani tutaweza kweli, si watu tutabakana tu, daladala imeshehena mtu anajiingizia tu dushelele kwa demu tena bila hata haibu.
Umemcheki vizuri? Sura ngumu wakati ana bonge la Dimpoz kama Ommy Dimpoz?Mzee "Wapigeni tu" ana sura mgumu!!!
kuna nchi JK alialikwa akawambiwa avae kama hivi kwenye dhifa ya Taifa....akachomoa
sidhani kama la kwetu litakua hiviSamahani lakini, kwanini sie tulilie vazi la taifa kama hili na hilo vazi la taifa linatusaidia nini? Sasa kama gunia hili alilovaa huyu mfalme anaonekana kituko kwanini sie tumuige? JK hongera zake kwa kukataa ujinga kamaa huu. Vya wamasai waachie wenyewe wavae, ya nini kuwaingilia?
sidhani kama la kwetu litakua hivi