Mzimu wa mwanamke unavyonitesa

Bahati mbaya mimi sio muumini wa hizi dini za kuletewa hivyo ni ngumu kupata msaada wa viongozi hawa (Naamin uwepo wa Mwenyezi Mungu basi)
Kwa msimamo huu, USHAPIGWA! Njoo kwa Yesu wewe, akuokoe uwe huru.

JESUS IS SAVIOR
 
Bonge la comment!
 
Ulifanya ujinga flani Hivi.... Kwenye mapenzi usifanye Kwa huruma... Ulipaswa kumbwambia mapema kuwa humpendi kuliko ulivyofanya....

Kamtafute huko aliko, ongea naye na ujutie Kwa uliyomfanyia....
 
Nilishapitia hii hali yako ,bahati mbaya Mimi naishi jirani nae Hadi leo hii ,ila hanipi hata salamu tukikutana njiani .

Nishamwomba Sana msamaha kwa yote lakin wapi bado ananinunia tu .

Imenitesa zaidi ya miaka miwili ivi .

Ila baadae nikaamua liwalo na liwe ngoja na Mimi nimfungie vioo tu jumla jumla ,ukapita mwaka Tena buyu buyu.

Zaidi saiz anawaulizia marafiki zangu km Nina mtu tayar au Sina pia naoa lini.

Ila huwez Amin niliteseka Sana juu yake maana nikikumbuka alivyonipenda ,nimekula pesa zake nyingi mno alafu nikaja mtema coz nilikua simuelew kiivo.

Ila kwasasa Nina Aman Tena psychology yangu iko sawa kabisa maana nilishamwomba msamaha Sana japo hakutaka kusamehe ,naishi na nimemsahau na najitahid Sana nisiwe naonana nae kabisa ingawa yeye njia yake Mara nyingi ni hapa kwangu ili nimwone lakin Sina huo muda Tena ndo ishaisha ivo.
 
Shukrani sana πŸ™
 
M

Ulibugi sana. Huyo ndiyo ulitakiwa umuoe sababu ungefurahia maisha sana.
Wanawake wenye upendo wa dhati wamebaki wa kumulika kwa tochi siku hizi.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ilo kosa tumefanya wengi sana mke wa kuoa anatakiwa awe yule anayekukubali kinoma na wewe unamkubali hatari, na sio wa kutafuta ukubwani πŸ˜€πŸ˜€eti watu wamekutana ukubwani miezi miwili tu then ndoa, mapenzi ni stages ndo maana wenzetu US na europe ata America utasikia mtu anasema kamuoa rafiki yake wa utotoni maana wenzetu upendo uanza wakiwa wadogo hadi utu uzima na mwisho kuoana, sasa waafrica unakuta wanafundishwa huongo kuhusu upendo , kwa mfano mimi level zangu za elimu kuanzia, primary , secondary nimekutana na mademu walikuwa wananikubali hatari ila mi nilikuwa nazngua kuwakwepa kwepa mwisho wakapotea wote πŸ˜ͺπŸ˜ͺna sijabaki ata na mmoja na sahivi nakumbuka na kujuta nasema wale ndo walikuwa mmoja wao wa kuoa kama sio wote, sa hivi ndo karma inanusumbua hawajawahi tokea watu kama wale zaidi ya strangers tu na wasionipenda bali mimi ndo nawapenda,
Aisee ukipata demu anakupenda mpende sana maana muda wa kupata wa ivyo ni utotoni kama ulizingua bila kujua utotoni kwa kuwakataa ndo basi tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…