Haya na tuanze mchakato na ole wako unitende .....
Nakuja kukuanzishia uzi hapa!
We cheka tu ....!!
Hapana usilie,
Jiandae baadae tukutane pale tunapokutanaga siku zote uniambie kweli kama unaweza kushindia dagaa au ni mbwembwe za JF tu!
Mimi najua kuwa siwezi kumtenda mtu,we jiandae tu kupata mapenzi na upendo ambao wanawake wengi wanaulilia
Tena utapewa bila kupimiwa!
Hata kurumangia ugali na kachumbari..... Tehe