Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,056
Wabongo bana kuwatapeli ni rahisi sana tena hata waliokwenda shule pia nao huamini vitu hivyo!Wajinga hawaishi!
Ova
Naomba Mungu Alshabab na Alqaida waishie hukohuko nje ya mipaka ya nchi yetu maana kwa ilivo rahisi kuwaghilibu wabongo na kuwachota akili watu wangekufa sana kwa kuuliwa aisee