Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,536
- 5,350
Kunguni kaka.Bujibuji bhana! Sasa si ungelala kwako tu?
nyumbani kuna kunguniteh teh teh Bujibuji nae
ukishangaa ya musa utaona ya BB!
Hakufuata shuka alienda kupata dawa ya usingizi.
Duuh Bujibuji huyuhuyu wa hapa?
Yaani huyuhuyu? Narudia tena huyuhuyu?
Mi naimani umemshabihisha? Kwani Buji hua anapata ile mineno?
Nnamaanisha hua anastua?
Makambo ya Mwakaleli ni nomaMtazame vizuri midomo yake, anapata sana kitu inaitwa MAKAMBO, ni equivalent to au zaidi ya CHA ARUSHA
Bujibuji daka idea yangu, hamia kwa friend wako moja kwa moja uwakomoe hao kunguni kudadadeki.