duh! jamaa mmoja huko Tanga aliwahi kuchukua jini, enzi hizo majini Tanga ndo nyumbani kwako, jamaa katoka bara anaelekea mombasa akashuka Tanga mjini kwanza ili aponde maraha ndo aendelee na safari yake ndo akakutana na dem mkali kumbe jini, kufika guest wapo kitandani dem akanyoosha mkono kuzima taa kutokea kitandani jamaa akazimia, kuja kushtuka yupo mwenyewe, ahahahahaha, ingekuwa mimi nakula zigo kwanza kisha namwambia aondoke na mikono yake inayorefuka, ahahahahaha