Mzima kweli huyu???

Halafu kila kukicha wanaume wa dar, wanaume wa dar. Kaona la vigae kaona photo shop
 
mbona ni kawaida sana hiyo,babu yangu yupo moshi kila siku lazima aende kulala au kukaa juu ya kaburi la mke wake (bibi) alikuwa anampenda sanaa.
itakuwa huyo jamaa ameondokewa na mtu wake wa karibu sana na sio bangi kama mnavyofikiria
 
Na hakika ww huwez kufanya hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…