Mziki wetu Unapotea kwasababu ya Team

Mziki wetu Unapotea kwasababu ya Team

Dindilimunyo

Senior Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
108
Reaction score
206
Wakuu habari nimekuwa naangalia tuzo za Mama Mtv leo. Tanzania ni nchi pekee iliyokuwa na wasanii6 kwenye hizo tuzo lakini cha ajabu tumekosa zotee! Nilicho jifunza mambo ya Team na u team fula mara team fulani yanagawa Kura kwa wasanii wetu! Mwishowe hatufanyinvizuri kwamfano kama Alikiba angehamasisha Watu wake wapige kura kwenye Category za Diamond ambazo yeye hashiriki na Diamond th same ange fanya hivyo tungeshinda! Nadhani sasa ni wakati wa vyombo vya habari nawatu wenye ushawishi mkubwa kumaliza hizi bifu za kijinga zinazo tushusha! Naomba kuwakilisha
 
Izi timu za kijinga sana zinatakiwa zife ila pia radio zetu ziache kupiga nyimbo za nigeria sana maana zinakuza mziki wao sana km wao wanavyochugua nyimbo mmoja kupiga na sie ivyo ivyo tufanye
 
Tabu wasio na kazi wala fikra ndio wanakuza, pia Kiba aache kumtaja Diamond. Yaani wawe kama Nigerians wengi wao wote wanavuta pesa na wanaishi na kufanya kazi kivyao.

Timu zipo hata kwa big stars duniani kuendeleza wanaomshabikia na wengine wawapendao.

Tabu ya nchini kubwa ni watu kuonea wengine wanaojiendeleza WIVU.

Hata hasiye kwenye muziki wanajaa WIVU

Hata uishi maisha sio star nchini WIVU unaingia wengi waone umeshuka, badala ya kutaka kujua umefikaje ulipo nao wafike au wakupite.
 
Samahani kiongozi Kiba huwa anamtaja diamond kati yapi!? Nahisi na wewe ndo wale wale katika mitimu yenu
 
Mimi si shabiki wa mziki wa sasa. Huyu dogo ukimsikiliza akihojiwa akigusiwa kuhusu Diamond utamsikia majibu yake ovyo ovyo. Juzi juzi namsikia akilalama eti meneja wa Diamond kafanya njama asitumbuize Mombasa akazimiwa kipazasauti. Hivyo hashindani kufanya muziki ila anashindana na Diamond na siku Diamond akiporomoka na yeye atapotea kabisa maana ndie anashindana nae.
 
Kushindana kwenye mambo ya kimaendeleo sio vibaya,ila kuharibiana kazi kwa chuki na wivu sio jambo jema.
 
Mimi si shabiki wa mziki wa sasa. Huyu dogo ukimsikiliza akihojiwa akigusiwa kuhusu Diamond utamsikia majibu yake ovyo ovyo. Juzi juzi namsikia akilalama eti meneja wa Diamond kafanya njama asitumbuize Mombasa akazimiwa kipazasauti. Hivyo hashindani kufanya muziki ila anashindana na Diamond na siku Diamond akiporomoka na yeye atapotea kabisa maana ndie anashindana nae.
Hivi ni kwa nini Ali Kiba na team yake wanalazimisha kuonekana kama ndiye mshindani wa kweli wa Diamond? Ni nani anaemdanganya Ali Kiba na hiyo team yake hivyo?

Napenda muziki na nakubali kwamba Ali Kiba ni mwanamuziki mzuri lakini siyo wa kufikia kiwango cha kujiona kuwa ndiye mshindani wa kweli wa Diamond ili kupata mashabiki.

Tukubali kwamba suala la kuwa na vipaji na pia kuzidiana vipaji au mafanikio katika maisha ni mambo ya kawaida tu enzi na enzi.
 
Tabu wasio na kazi wala fikra ndio wanakuza, pia Kiba aache kumtaja Diamond. Yaani wawe kama Nigerians wengi wao wote wanavuta pesa na wanaishi na kufanya kazi kivyao.

Timu zipo hata kwa big stars duniani kuendeleza wanaomshabikia na wengine wawapendao.

Tabu ya nchini kubwa ni watu kuonea wengine wanaojiendeleza WIVU.

Hata hasiye kwenye muziki wanajaa WIVU

Hata uishi maisha sio star nchini WIVU unaingia wengi waone umeshuka, badala ya kutaka kujua umefikaje ulipo nao wafike au wakupite.
Nikiangalia jinsi Kiba na Timu yake wanavyohangaika kumshusha chini Diamond nafadhahika sana. Yote hiyo ni wivu na husda zilizopitiliza. Hivi Diamond akipata au kukosa, Kiba ameongeza au kupungukiwa na nini?
 
Team zipo mpaka Nigeria kuna team obo na star boy tatizo ni kwamba tulikuwa na upinzani madhubuti haikuwa rahisi kushinda hebu nitajie tunzo iliyostahili kuja Tanzania katika zile categery
 
Kama wapiga kura ndio Hawa wananaoshinda hapa jf na kukosoa kila kitu, sidhani kama tutakuwa wazalendo siku moja.
 
Minazan uyu kibakuli ndoo alie anzisha huu utimu maana yeye alipotea kwenye gem hakuaga ila alupotaka kuludi alianza kutangaza kwamba kiti kimejaa vumbi naikamanisha vumbi ni dai mi watu wanafiki kama kina kibakuli huwa siwapi swaga
 
Vipi kuhusu Vanessa na Navy Kenzo nao wana teams?

Wizkid hanaga vote me kila dakika kama hawa wa kwetu ila kabeba maanake nini?

Wabongo tuache kutafuta visingizio uchwara waliopata walistahili.
 
Hakuna cha timu wala nini, tatizo hasa ni hawa wasanii wa kibongo kuishabikia CCM kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2015. Kuanzia Diamond, Kiba, Raymond, Vanessa mpaka Ya moto band walikuwa busy kwenye majukwaa ya kampeni za CCM wakipiga push up na kumdhihaki Lowassa, wakidhania watanzania wote ni wajinga tu.

Wengi wetu tuliapa kamwe hatutawapigia kura tena hawa wasanii katika kuwania hizo Tuzo.
Na huu ni mwanzo tu, makubwa yanakuja zaidi. Kama wanabisha wamuulize yuko wapi Nakaaya na Maro. Mpaka leo wanajuta kuipigia kampeni CCM 2010, maana tuliwazika rasmi.
 
Nikiangalia jinsi Kiba na Timu yake wanavyohangaika kumshusha chini Diamond nafadhahika sana. Yote hiyo ni wivu na husda zilizopitiliza. Hivi Diamond akipata au kukosa, Kiba ameongeza au kupungukiwa na nini?
Na Kiba akipata Diamond anaongezewa au kupungukiwa nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom