Mziki Mnene

Mziki Mnene

Matamasha ya bongo bado kabisa,hasa performance ya wasanii mara utasikia wanna sema "mikono juu " mara "every body say yeah" wanajisahau hata kuimba,huwa nachukiaga mpaka Basi,matamasha ya wenzetu huko mbele hamnaga Mambo Kama hayo.🙂🙂
 
Matamasha ya bongo bado kabisa,hasa performance ya wasanii mara utasikia wanna sema "mikono juu " mara "every body say yeah" wanajisahau hata kuimba,huwa nachukiaga mpaka Basi,matamasha ya wenzetu huko mbele hamnaga Mambo Kama hayo.
Sio kweli hata mbele wanafanya hvyo ..usichokijua ni kua style ya performance wasanii wetu wameiga kutoka kwa wasanii wa marekani ... Japo sikatai ...Kuna show zao za live Ila backvoko hata wao wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matamasha ya bongo bado kabisa,hasa performance ya wasanii mara utasikia wanna sema "mikono juu " mara "every body say yeah" wanajisahau hata kuimba,huwa nachukiaga mpaka Basi,matamasha ya wenzetu huko mbele hamnaga Mambo Kama hayo.🙂🙂
Show ya kuenjoy ni ya bolingo tu. We si umeona hata ktk show ya wasafi watu walilipuka wimbo wa iyope tu.
 
Back
Top Bottom