Mzigo wa wikileaks concerning Turkey released

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,814
Ni nakala zaidi ya laki tatu mzigo upo unatembea ambae ameshaipakua aitupie hapa waliitoa mapema Sana ila jamaa wakawafanyia umafia wa DDOS attack Kama ilivyotokea kwa jf kipindi kile hatimaye wabobezi wa WikiLeaks wameshinda Na mzigo upo hewani.


Mbivu na mbichi kujulikana.
 
Sasa mimi nimefungua uzi wako kwa shauuuuku jubwa kutokana na kichwa cha habari chenyewe kumbe tena ni yale yale ya hapa kaz tu......aaah nyie bhana
 
Mada nzur Ila mkuu hujatoa hata muhtasari nini kinazungumziwa huko kwenye huo mzigo......ila kama huwez kutoa ulichopata huko ungetoa hata link watu wasome wenyewe
 
Mi mwenyewe nautaman kichiz.. Mana niliskia kua eti yale mapindu mukulu wao ndo alipanga ilimradi kuzima cjui upinzani.. So ndo nataka nielewe huo mchezo ulikuaje
 
Rais wa uturuki, bw. Erdogan lazima aondoke
Wacha aendelee kucheza ujinga wake
 
Kilichopatika ni mzigo wa mawasiliano ya barua pepe na tangu miaka ya nyuma mpaka July 16
Hakuna mails zinazohusika moja kwa moja na coup, lakini kuna baadhi zinazotiliwa mashaka kwakuwa lugha iliyotumika humo ni ngumu na ya kimitego hivyo kazi ya uchambuzi na kuunganisha dots inaendelea
Mtandao ulishambuliwa baada ya habari za weakleaks kuenea kwamba wana mzigo full wa kilichotokea Turkey, lakini ilikuja kujulikana baadae kuwa walichonacho mpaka sasa ni mzigo wa barua pepe na mawasiliano mengine ambayo bado na pengine sio case sensitive japo hakuna mwenye hakika sana
 
Dah nimekimbia nilidhani huu ujinga wa Rais kuleta sinema ya kujipindua mwenyewe ili apate kiki na kisingizio cha kuwamaliza wabaya wake utawekwa wazi tu, ni suala la muda tu, hili jambo ni lazima litamuumbua tu.
 
Rais wa uturuki, bw. Erdogan lazima aondoke
Wacha aendelee kucheza ujinga wake

Amekosea nini? Au kwakuwa nchi yake imekuwa uchochoro wa wamagharibi kuelekea syria kujiunga na ISIS? Tatizo lake ni nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…