Mzigo wa NIMR ni kiboko

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wazungu wako lockdown WHO wamesha tangaza hali ya hatari huko kwa kingi mswati
 
Kuwa mbunifu ungejaribu kutoa wachina, sio lazima iwe wazungu tu.
 
Iweje ule mzigo halafu utake kutoa wazungu?

Kwani chakula hamna hadi unakula mizigo?
 
Al-Kasusu mjarab kwa hisani ya NIMR πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mapema sana wahuni watauficha huu mzigo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushaanza kuwa adimu mkuu, sasa hivi Covidol tu ndio inapatikana...

Ajabu hata kina mama/wadada ni mwendo wa NIMRCAF (sijui wanawanunulia wazee wao)....teh teh tehhhh
 
Bila wazungu kutoka sasa umepata raha gani?
 
Wadanganye wengine unatangaza biashara kitoto sana badili mbinu

sent from HUAWEI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…